FIFA 14, error e0001

FIFA 14, error e0001

Fifa 14 ndo fifa tamu zaidi mpaka leo bado nacheza
Nakubaliana na wewe mkuu.

Naipenda saaana Classic XI.

Humo ndani kuna akina Cantona, anaruka vichwa balaa.

Kuna mnyama Zico, anakaba na kushambulia hatari.

Kuna frankly, akimbia si mchezo.

Hugo Sanchez na Voller hizi strikers ni moto mwingine.

Ukuta wa nyuma ukimkuta Koeman utajuta.

Ukicheza na mtu akatumia hii timu huwezi ukampiga.
 
Update na fifa infinity patch 14, hii patch iko poa sana , Yani imekamilika
 
Back
Top Bottom