hapa kuna linex yaani makelele na kuwalazimisha watu kupiga makofi kwa nini msanii asiimbe ili watu wajisikie kuweka mikono juu kulipa ulipe kiingilio na kuimbishwa uimbishweee du
Mtaniwia radhi mi si shabiki wa mziki wa vijana hasa hawa wabana pua na kujikoboa sura!<br />
<br />
Naona show zinaendelea japo wasanii siwajui hata mmoja kabisa!
Mtaniwia radhi mi si shabiki wa mziki wa vijana hasa hawa wabana pua na kujikoboa sura!<br />
<br />
Naona show zinaendelea japo wasanii siwajui hata mmoja kabisa!
Hata hivyo set up ya audio very poor kwa kurusha katika tv ni kama pa speaker.............full play back sijui hawa wasanii wataendaje international forum kama hiki kipimo kidogo tu cha kibongo bongo hawa wasanii kweli tabu tu sijui wanamdudu gani kichwani
kitu ambacho kipo poa ni urushaji wa video wa moja kwa moja wameweza kwa ufananisi mkubwa sana sijategemee kama wangelikuwa na uwezo mkubwa kama huu na wasanii hadi sasa sharobaro kajitahidi na yule demu sijui anaitwa nani....