Unawezaje kuingiza watu wote hao kwenye gate moja, huo sio ujinga? uwanja una mageti lukuki, kwanini yasitumike?Huenda mnaotaka kuingia ni wengi sana ss utarembaje wakati kuna watu 200 nyuma yako na wao wanataka kuingia?!
Hapo ss uwaulize wao kwann wanatumia1.Unawezaje kuingiza watu wote hao kwenye gate moja, huo sio ujinga? uwanja una mageti lukuki, kwanini yasitumike?
HAhahahaaa na wewe unaitwa humu 'mkuu'unawezaje kuingiza watu wote hao kwenye gate moja???? huo sio ujinga!!! uwanja unamageti lukuki....kwanini yasitumike???
Hahha unazingua ww miguu njoo uingie uone km utapitaMbona nasikia kiingilio miguu yako tu