Sharp lady
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 129
- 13
Mbunge wa Mbeya Mr. II amepiga marufuku matamasha yote ya FIESTA mkoani mbeya kwa madai kuwa yanaua vipaji vya wasanii. Source status yake ya FB.
huo ni ukweli mtupu kama hutaki kuamini kaa hvyohvyo.mwongo wewe!!!
Chuki za wapi binafsi? mwenzako ni mbunge,bado pesa anayo tangia anatoka marekani kuja kugombea ubunge,nadhani hujui hawa watu wa FIESTA wanavyowanyonya wasanii wakati wao wanaingiza mamilioni,kama wanawapenda wawafungulie mikoa yote studio kama alivyofungua studio SUGU hapa mbeya kwa ajiri ya wasaniimhh chuki binafsi hana lolote
Tatizo hamjamuelewa yeye ni waziri kivuli wa utamaduni inawezekana na hii ni marufuku kivuli.Ameanza kudata huyu
Kwani Fiesta inaibua vipaji mikoani? Ni kweli kwamba fiesta haithamini wasanii wa mikoani ndio maana inazunguka na wasanii wake.Roho inamuuma hajapewa shavu.
Mbunge wa Mbeya Mr. II amepiga marufuku matamasha yote ya FIESTA mkoani mbeya kwa madai kuwa yanaua vipaji vya wasanii. Source status yake ya FB.