Fiesta Kufanyika Hadi Asubuhi....?

Yaani mie nawaza liwe linaisha hata saa nne, kila kona ni hilo tu sielewi kunakuwaga na nini cha ziada, kuna mmoja nilisoma nae yuko Arusha, likienda moshi yumo likija Tanga yumo yeye utamsikia tu Sakayo nakuja fiesta huko daaah!! Huwa simuelewi kabisa, mpaka huwa nahisi niko kinyume na hii dunia. Anyway yote maisha
 
Hahahaha jamaa hyo ana safiri n'a fiesta

Ova
 
Hamna chochote cha maana kelele tu...wajanja wanakula hela za wasiojitambua
 
aisee, katika hili tunafanana..,hata mimi sijawahi kuona jipya,...
 
Ila inashangaza sana kuona tamasha la muziki linakuwa jambo kuubwa! Ila ndio bongo hii kama mtu alievuruga mnada annanza kualikwa kufungua vyuo unategemea nini!!
Mkuu mbona mziki ni kitu kikubwa pia me naona wanamuziki wanatendewa haki sasa
 
itakua boss kamchimba biti mwanae asimgombanishe na waliomchagua...kama namuona mtoto roho inavyomuuma 😑😑😑😑😑
Kwa hali ilivyo itakuwa mkuu mwenyewe ndo karuhusu sio dogo
 
Ila inashangaza sana kuona tamasha la muziki linakuwa jambo kuubwa! Ila ndio bongo hii kama mtu alievuruga mnada annanza kualikwa kufungua vyuo unategemea nini!!
Nchi ya matukio
 
Ndiyo mkuu ruhusa ilitoka juu, Mwakyembe ndiyo aliifikisha
 
Kama mkuu ametoa ruhusa maana yake nini?? Kunaruhusa ya kuvunja sheria inayotoka kwa mkuu ambaye sijui ndo mtunzi ama mmiliki ama aliye juu ya sheria iyo??
Nakumbuka maneno niliyasikia kutoka mahala "......the greatness of any community depends on its fidelity to the constitution and above all fear of GOD.." naona kama taifa langu halimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…