joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,935
- 40,145
WCB mpaka wamefika pale jua kazi zao ni bora na ndio maana wamewateka watu pamoja na kukosa promo baadhi ya media na ndio maana wapo pale. Huwezi sema kazi zao sio bora wakati kwenye, insta, fb, YouTube, boomplay, sportfy na ITunes wanadominate wao kwa asilimia zaidi ya 60 EA, Nyegezi pamoja ndio imefungiwa lakini sportfy ina wiki 5 inashika namba moja tz.Brother hizo figisu ni sehemu ya biashara ila ndo vile wabongo tumezoea biashara za kijamaa... walikuwa wanaua ushindani tu japo kwa upande wa jicho la kibinadamu ndo walifanya sio poa
WCB imekua kwa figisu na si ubora wa kazi zao pekee na ndo hivyo hivyo CMG ilikua pia.. wote wamekutana sehemu moja ila hofu ni moja tu Wasafi ikimuweka chini Clouds na yeye itafika kipindi atataka pesa zaidi maana atakuwa na nguvu...
Wanasema usiuamini uaminifu wa mtu mwenye njaa yaani ndo kama Wasafi kwa sasa maana wanatafuta njia tu ndo maana unawaona wapo hivyo japo dalili za kupenda kutawala kila kitu ni jadi ya WCB kama brand.. hivyo akheri Efm ndo angemuweka clouds chini kuliko wasafi ambao wana vinasaba vya CMG
