Mwanafalsafamweusi
Member
- Jun 4, 2019
- 14
- 23
Na Mwanafalsamweusi
Tigo Fiesta kwa sasa linaendelea kuwa ndo tamasha bora na lenye mvuto zaidi nchini Tanzania baada ya Tamasha la Wasafi Festival kukosa kitu cha ziada cha kulitofautisha na Na Togo fiesta.
Mapungufu ya miaka iliyopita ya Tamasha hili Mimi ni kiwa shabiki wake namba moja.
1.wasanii wenye mvuto zaidi hawapewi nafasi hasa wakongwe kama kina Afande sele ,Juma nature,Ledy Jaydee,
Badala yake manatujazia watoto was THT na kina amba Luty wanaokuja kuonyesha makalio yao stejini.
2.Kutumia nyimbo za wasanii ambao hampo nao kwenye show kwa kupigwa na DJs na zianaamsha kuliki wasanij wenyewe mliowasajili na kuwaona wana faa je hao wasanii mnaopiga nyimbi zao wao wananufaika vipi wakati nyinyi mnaingiza pesa?
3.Usalama baada ya show kuisha watu huwa wanabakwa wanaibiwa ilishawahi kuripotiwa Mara moja tu morogoro na Afande Sele zamani show zenu zilianza SAA Name na kuisha SAA NNE usiku kwaajili ya usalama kwanini msirudishe hvo ili watu we salama.
5.Jukwaani wasanii wenu wana wachosha mashabiki badala ya kuwaburudisha,Mara mikono juu ,washa Tochi hivi huwa ni adhabu?
Watu wanapo jaa kwenye matamasha yenu sio kwamba wanawaelewa hawana tu pa kwenda jitahidini kubadilika waandaaji.