wamlete jigga wana hela?,breezy mwenyewe mombasa kala like Tshs 1.9b,jigga je watamshawishi kwa sh.ngapi,size yao ni kina kibakuli na manfongo,mzee wa msambwanda mwenyewe kibongobongo ni level zingine kabisa,hawamuwezi,kweli imebumaaaaaaaaaaaaaa
Inaitwa Tigo fiesta,Diamond yupo na Vodacom kimkataba hawewzi kuharibu mkataba wake kwa issue ya siku moja.
Ingekua bado ni Serengeti Fiesta angeweza kutumbuiza maana beer na simu ni bidhaa mbili tofauti
Lakini pia kuwa realistic hivi pale burudani huwa inapatikana vipi au
1.kuamka saa nane umekauka sauti na kusema"fiethita kwa sauti mpauko"
2.kuamka umechafuka miguu kama Kuku
3.kubanwa na kumwagia"wazungu"kisa unataka kumuona tekno.
4.kuamka na njaa na hangover
5.kupoteza simu na vitu vya thamani kisha kuamka na majuto
6.kuvutwa nywele kwa ujumla sijaona burudani kwenye matamasha yetu ya mziki napenda kama yale ya kina Adele angalau ni mazuri unaenda msafi unarudi msafi umesikia wimbo na sio makelele haya yanayofanywa majukwaani bora hela hiyo uende gym
Tusisingizie kutokuwepo kwa Msanii toka Marekani. Ukweli mim binafsi na kampan ya marafiki zangu na hata watu wa karibu yangu FEDHA YA STAREHE HAKUNA TENA. Hali ya Uchumi imebana sana sana, hiyo elf 50 ya kutumia kwenye fiesta siku 1 ni bajeti ya wiki nzima nyumban kwasasa. So tusijipe moyo kwamba hatuendi kisa CHRIS BROWN HAJALETWA ukweli hatuna PESA.