Risk takker
Member
- Feb 28, 2015
- 18
- 5
Wakuuu me nimwanafunzi Wa Mzumbe nipo likizo takribani Miezi Mitano natafuta tempo ya kufanya kwa Mda huo , Nipo mwaka Wa Kwanza nasomea Human Resources Management.
likizo 5 months?
Umedisco nin mkuu,likizo gani needy hvyo?[/QUOT. Hamna Mkuu ndo kawaida ya Mzumbe tunasoma kwa shift so kwa hii miezi mitano kuna watu wengine wanaoanza kusoma