Field Allowances for Udom Students Ready | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Field Allowances for Udom Students Ready

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by nngu007, Jun 14, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Daniel Msangya
  13 June 2011
  [HR][/HR]
  [TABLE]
  [TR]
  [TD="class: share_item"][/TD]
  [TD="class: share_item"][/TD]
  [TD="class: share_item"][/TD]
  [TD="class: share_item"][/TD]
  [TD="class: share_item"][/TD]
  [TD="class: share_item"][/TD]
  [TD="class: share_item"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  A total of 1,200 students out of 1,602 from higher learning institutions will be paid Sh389 million as field allowances, it was reported here yesterday.The deputy minister for Education and Vocational Training, Mr Phillipo Mlugo, told Parliament that they include students from the University of Dodoma (Udom) and St Augustine University of Tanzania (Saut).


  He said the government has approved a request from the students to increase their daily substance allowance from Sh5,000 to Sh10,000 each as a result of increased living costs."The government has received the request, and the amount would be increased in the 2011/12 budget as the current amount paid was allocated in 2007 and has not been reviewed up to now," said Mr Mlugo.  He further told the house that the delay in processing applications for allowances and loans from students was caused by a number of reasons. These include poor communication between the colleges, universities and the Higher Education Students Loans Board (HESLB) as well as the flow of financial procedures from the Treasury, he explained.

  However, he said the government has been making a close follow up. It has also taken precautionary measures and warned that officials delaying payment to students would be disciplined.He said all financial institutions dealing with students' loans have been instructed to improve communication to reduce unnecessary delays.

  Further, Mr Mlugo went on, in an effort to improve the payment of loans to students of higher learning institutions, the government formed a commission to review the system.The team has completed its task, he said, noting that it had already handed over its report with recommendations.

  He was answering a question from Mr Felix Mkosamali (Muhambwe, NCCR-Mageuzi) who asked an explanation on disciplinary measures taken against officials who have delayed paying the students' loans purposely and action taken to change the whole system.
   
 2. samito

  samito JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi kwa nini na nyie msikatae hizo allowance mbona si kipindi kile tunasoma tulikuwa tunafanya field kwa vijisent vichache, wengi wa wanaoenda field huwa hawatumii hizo ela wanazopewa ila wanatumia kwa mambo yao binafsi, sasa huo si ufisadi?

  wanafunzi kataenzi hizo posho za field
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  una taka ugomvi wewe,kama umezipenda rudi shule
   
 4. X

  XWY BOYZ Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 12, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Samito nimekupima akili nimegua yafuatayo.
  1. Bado maisha yako yanategea wazaz (unakula bure),
  2. Hauna ufahamu wowote juu ya mfumko wa bei (economic inflation)
  3. Haujui kufanya tathimin katika nyakat.
  Nb. Rudi darasan usome tena
   
 5. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,425
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 160
  Nadhani wewe una mzaha hata kwa mambo mazito. Enzi zetu! Nilikuwa nikipata Tshs 150/=kwa mwezi kama stipend; lakini hii ilitosha kwa matumizi yote madogo madogo kama sabuni lakini na pia bia yangu niliipata kwa Shs 1.25, na ukumbuke malazi bure, chakula asubuhi, mchana na jioni bure, chai saa 10 na wakati wa mitihani kahawa saa 4 usiku, vyote bure. Tukienda field, tulikuwa tunapewa had Shs. 2,400 kwa mwezi. Lakini hizi kwa field ya mwaka wa kwanza ilinitosha nauli ya kwenda sehemu yangu ya kazi, chakula na malazi na niliweza kununua radio cassette kubwa Panasonic ya Shs 500.

  Kiwango cha sasa kwa hawa watoto hakitoshi hata kwa nauli sembuse malazi. Usidanganye wala usifanye mzaha. Taifa linakufa hili, haliendelei
   
 6. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Lakini kusubiri mpaka JF kuikuda shati serikali pamoja na uongozi wa UDOM ndio fedha zitoke??????????? Tunasubiri kuona kama hatua hii itakua ni nguvu ya soda tu au ni endelevu; yetu macho.
   
 7. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  usitamani mali ya mwenzio. Mbona unasema wakat mnasoma nanyi mlichukua? Usivo na uelewa unasema wanatumia ela kwa mambo binafsi ,sasa unataka wazitumie kufanyia nini?wakati ni ela za matumizi binafsi? Au wewe ulidhani ni za shughuli miradi maendeleo?wajenge barabara au? Hapana iyo ela watumie kwa ishu binafsi kama nauli,malazi,mavazi na chakula. Vijana daini na mtumie ela zenu. Pia msikubali ziitwe posho,iyo ni mikopo mtailipa. Si posho,ni ela zenu halali.
   
Loading...