CCM oyeeeeeeeeeeeeeee, Samia oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeKijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za kuwahamisha,na kuwafanyia
Barua inaanza na aya ya pili: ya kwanza imemezewaajabu kuhamasisha watu kuhama wakati fidia hawalipwa na haijulikani lini watalipwa na huyohuyo Mkurugenzi amemueleleza mtendaji wa kijiji azuie maendeleo na shughuli zote hapo Nyatwali lkn sasa ni Mwaka mzima watu
Kwa kuwa ni barua ya siri na inalindwa na sheria ya usalama wa taifa, hapo kuna wa kuwajibika katika chain ya barua hiyo kuanzia ofisi ya iliyoandika, na ofisi iliyopokea. DSO Bunda aingie kazini haraka sana
Halafu Nyatwali Tembo wanaua sana, ni busara kuhama.
Mashirika ya uhifadhi yana mpango wa kujenga madaraja makubwa sana ili magari yapite juu, wanayama wapite chini kwenda ziwani kunywa maji. Wahame
Punguza kelele, hapo utahama, utalipwa fidia, au umefukia majini yako hapo ni ngumu kuyahamisha, utahama, utake usitakeTembo wamua wangapi?nipe Takwimu mzee,Pia DED kikatiba ana haki ya kuzuia watu kukusanyika,sasa na sheria inasemaje kuhusu nalipo ya fidia?
Punguza kelele, hapo utahama, utalipwa fidia, au umefukia majini yako hapo ni ngumu kuyahamisha, utahama, utake usitake
Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhanaSawa mkuu endelea kunemeka na UTAWALA
Hahahaha wanyama hao wamepandikizwa hapo hivi karibuni ama wapo toka kuanzishwa mbuga ya serengeti na mkoloni leo iweje wawe hatarishi, niko pale kama ya wamasai kuhamishwaKwa kuwa ni barua ya siri na inalindwa na sheria ya usalama wa taifa, hapo kuna wa kuwajibika katika chain ya barua hiyo kuanzia ofisi ya iliyoandika, na ofisi iliyopokea. DSO Bunda aingie kazini haraka sana
Halafu Nyatwali Tembo wanaua sana, ni busara kuhama.
Mashirika ya uhifadhi yana mpango wa kujenga madaraja makubwa sana ili magari yapite juu, wanayama wapite chini kwenda ziwani kunywa maji. Wahame
Nadhani we umeongea kwa logic kuwa wampishe mwekezaji aweke hoteli hapo kidogo naweza kubaliana 💯Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhana
Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhana
Wataondoka, na mashirika ya uhifadhi yako tayari kufadhili ujenzi wa njia za juu za magari ili kuwezesha wanyama wavuke kwenda ziwani bila usumbufu.Hahahaha wanyama hao wamepandikizwa hapo hivi karibuni ama wapo toka kuanzishwa mbuga ya serengeti na mkoloni leo iweje wawe hatarishi, niko pale kama ya wamasai kuhamishwa
Wanaojifanya wajuaji ni wasizaki na wajita, ila hawataishinda dola, na hapo hatuandikishi wapiga kura, mtapiga dogoli tu, sio kuraHuna taarifa kuna hotel tiyari zipo za kitalii wanafukuzwa,sasa unafukuza mzawa mwenye hotel ili mgeni ajenge hotel?
Acha uongo.mmeshindwa kujenga jangwani nyumba elfu 14 na hela mlishapewa mtaweza huko?Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhana
Jangwani watu wameanza kufidiwa, watu wa Nyatwali wakae mkao wa kula, mambo mazuri, mazezele mazezele, yanakuja.Acha uongo.mmeshindwa kujenga jangwani nyumba elfu 14 na hela mlishapewa mtaweza huko?
Hivi pale Mikumi kwa nini wazo hilo lisiende kujenga hilo darajaWataondoka, na mashirika ya uhifadhi yako tayari kufadhili ujenzi wa njia za juu za magari ili kuwezesha wanyama wavuke kwenda ziwani bila usumbufu.