chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,305
Mikumi kuna wazo linachakatwa kuichepusha ile barabara, endelea kuwa na imani na serikali yako, haya mambo yanafanyika nchi nzimaHivi pale Mikumi kwa nini wazo hilo lisiende kujenga hilo daraja
Mikumi kuna wazo linachakatwa kuichepusha ile barabara, endelea kuwa na imani na serikali yako, haya mambo yanafanyika nchi nzimaHivi pale Mikumi kwa nini wazo hilo lisiende kujenga hilo daraja
Hao wananchi wakihama, Nyatwali itakuwa kama Zanzibar, mahoteli kila konaNjoo Nyatwali beach resort ujione uwekezaji wa mamiilon ya pesa.
Aliyefidiwa nani jangwani?oyaa acha saund ujue.tuliambiwa mradi unaanza mwezi wa nne mwaka jana leo lini?Jangwani watu wameanza kufidiwa, watu wa Nyatwali wakae mkao wa kula, mambo mazuri, mazezele mazezele, yanakuja.
Waanze kutafuta viwanja Lamadi, Bariadi, au Makao Makuu ya Wilaya kule Nyashimo wakarogane vizuri na wenzao
Hahahaha mi yangu macho hahahahaMikumi kuna wazo linachakatwa kuichepusha ile barabara, endelea kuwa na imani na serikali yako, haya mambo yanafanyika nchi nzima