Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

Fidia ya ardhi Nyatwali Bunda

DUBE

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2012
Posts
253
Reaction score
241
Kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za kuwahamisha,na kuwafanyia tathimi kwa nguvu,sasa imepita Mwaka mzima hakuna cha fidia wala nini,na zaidi shughuli zote za maendeleo zimezuiliwa.

Twende sasa kwenye sheria ya Uthamini inasemaje?Ajabu ni kwamba Mkurugenzi wa Bunda ametoa barua ya ajabu kuhamasisha watu kuhama wakati fidia hawalipwa na haijulikani lini watalipwa na huyohuyo Mkurugenzi amemueleleza mtendaji wa kijiji azuie maendeleo na shughuli zote hapo Nyatwali.

Lakini sasa ni Mwaka mzima watu hawalipwa na mkuu wa mkoa anadai hela za kuwalipa watu hao ni nyingi sana na Serekali haina pesa,lkn mkurugenzi anadai watu hao wasifanye maendeleo yoyote sasa Wananchi hawa ni kama wapo jela vitisho ni vingi kulipwa hawalipwi na wapo hapo kwa mjibu wa sheia na katiba,lkn kuwahamisha katiba na sheria zinawekwa pembeni eti mpk waende kumuomba Rais awalipe.

Sasa ajabu Rais wakati anafuta hicho kijiji alikua ajui kuwa kuna kulipa watu.Tanzania nchi yangu tunaletewa umasikini na WATAWALA wetu tukatae.
 
Kijiji cha Nyatwali wilayani Bunda kimetwaliwa kwa Mujibu ya Katiba wananchi hao waligoma kuhama lkn Serekali ikasema ni lazima wahame kwa manufaa ya Umma na kupita kila Nyumba na kuweka number za kuwahamisha,na kuwafanyia
CCM oyeeeeeeeeeeeeeee, Samia oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kwahiyo ata kama boma lako linakaribia kudondoka hutakiwi kulirekebisha? Lakini pia kuna sehemu wameoneshwa pa kuhamia?
Ni mpumbavu pekee ndiye anaweza kumwambia mtu ahame bila kumlipa
 
ajabu kuhamasisha watu kuhama wakati fidia hawalipwa na haijulikani lini watalipwa na huyohuyo Mkurugenzi amemueleleza mtendaji wa kijiji azuie maendeleo na shughuli zote hapo Nyatwali lkn sasa ni Mwaka mzima watu
Barua inaanza na aya ya pili: ya kwanza imemezewa
 
Kwa kuwa ni barua ya siri na inalindwa na sheria ya usalama wa taifa, hapo kuna wa kuwajibika katika chain ya barua hiyo kuanzia ofisi ya iliyoandika, na ofisi iliyopokea. DSO Bunda aingie kazini haraka sana

Halafu Nyatwali Tembo wanaua sana, ni busara kuhama.

Mashirika ya uhifadhi yana mpango wa kujenga madaraja makubwa sana ili magari yapite juu, wanayama wapite chini kwenda ziwani kunywa maji. Wahame
 
Tembo wamua wangapi?nipe Takwimu mzee,Pia DED kikatiba ana haki ya kuzuia watu kukusanyika,sasa na sheria inasemaje kuhusu nalipo ya fidia?
 
Punguza kelele, hapo utahama, utalipwa fidia, au umefukia majini yako hapo ni ngumu kuyahamisha, utahama, utake usitake
 
Sawa mkuu endelea kunemeka na UTAWALA
 
Sawa mkuu endelea kunemeka na UTAWALA
Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhana
 
Kwa kuwa ni barua ya siri na inalindwa na sheria ya usalama wa taifa, hapo kuna wa kuwajibika katika chain ya barua hiyo kuanzia ofisi ya iliyoandika, na ofisi iliyopokea. DSO Bunda aingie kazini haraka sana

Halafu Nyatwali Tembo wanaua sana, ni busara kuhama.

Mashirika ya uhifadhi yana mpango wa kujenga madaraja makubwa sana ili magari yapite juu, wanayama wapite chini kwenda ziwani kunywa maji. Wahame
Hahahaha wanyama hao wamepandikizwa hapo hivi karibuni ama wapo toka kuanzishwa mbuga ya serengeti na mkoloni leo iweje wawe hatarishi, niko pale kama ya wamasai kuhamishwa
 
Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhana
Nadhani we umeongea kwa logic kuwa wampishe mwekezaji aweke hoteli hapo kidogo naweza kubaliana 💯
 
Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhana

Huna taarifa kuna hotel tiyari zipo za kitalii wanafukuzwa,sasa unafukuza mzawa mwenye hotel ili mgeni ajenge hotel?
 
Hahahaha wanyama hao wamepandikizwa hapo hivi karibuni ama wapo toka kuanzishwa mbuga ya serengeti na mkoloni leo iweje wawe hatarishi, niko pale kama ya wamasai kuhamishwa
Wataondoka, na mashirika ya uhifadhi yako tayari kufadhili ujenzi wa njia za juu za magari ili kuwezesha wanyama wavuke kwenda ziwani bila usumbufu.
 
Huna taarifa kuna hotel tiyari zipo za kitalii wanafukuzwa,sasa unafukuza mzawa mwenye hotel ili mgeni ajenge hotel?
Wanaojifanya wajuaji ni wasizaki na wajita, ila hawataishinda dola, na hapo hatuandikishi wapiga kura, mtapiga dogoli tu, sio kura
 
Hameni hapo, kuna mradi mkubwa wa kujenga mahoteli pia, halafu mtafidiwa, mbona wanaopisha barabara wanafidiwa? nyie ni akina nani hasa? Yego! Tata, pisha maendeleo bhana
Acha uongo.mmeshindwa kujenga jangwani nyumba elfu 14 na hela mlishapewa mtaweza huko?
 
Jangwani watu wameanza kufidiwa, watu wa Nyatwali wakae mkao wa kula, mambo mazuri, mazezele mazezele, yanakuja.

Waanze kutafuta viwanja Lamadi, Bariadi, au Makao Makuu ya Wilaya kule Nyashimo wakarogane vizuri na wenzao
 
Sawa mzee Endelea kuwa hivyo,ila karibu liitle ocavango camp ,huo ukabila ni wenu wengine tunawekeza hela zetu tu mzee.
 
Wataondoka, na mashirika ya uhifadhi yako tayari kufadhili ujenzi wa njia za juu za magari ili kuwezesha wanyama wavuke kwenda ziwani bila usumbufu.
Hivi pale Mikumi kwa nini wazo hilo lisiende kujenga hilo daraja
 
Back
Top Bottom