Fidel Castro, kiongozi aliyekuwa mwiba kwa Marais 11 walioitawala Marekani

Nimeona tweet nyingi za Wamarekani wanashangilia Jamaa kufariki Hata hiyo tweet ukiwa na fikra kubwa utajua anamaanisha nini.
 
Fidel Castro ndiye kiongozi aliyeongoza taifa moja kwa muda mrefu zaidi duniani. Alinusurika majaribio mengi ya kumuua na alishuhudia marais 11 wa Marekani wakiingia madarakani na kuondoka. Alipata sifa na kushutumiwa vilevile.

4d29e3aaece0a18953278bb934d6961c.jpg
 
Wataalamu wa mambo ya siasa, diplomasia na uongozi, hivi tweet kama hii ni sahihi kutolewa na kiongozi mkubwa kama Donald Trump? Anamaanisha nini katika hii tweet?

View attachment 439914

Haha ,...FINALLY. ..ni km mimi ninapoona baadhi ya VIONGOZI WA CCM wakitangulia huwa najiuliza JEURI ZILIWAPA NAFASI YA KUJUA HUU UJIO NA LEGACY INAYOBAKI. KUNA MATENDO CCM WANAYALILI VIBAYA.
 
Is death a punishment?
FOR SOME YES, FOR OTHERS NO. ukitangulia ili upishe watu, ukitangulia ili usipate nafasi ya kutubu.UKITANGULIA KM GHADAFI AU SADDAM AU WALE ALIOFIA GUEST HOUSE BAADA YA KUUA NA KULINDWA NA WALIOPASWA KUTA HAKI...Mhh..WHAT YOU THINK?
 
Katika kuongeza alama ya kushangaa (EXCLAMATION) Mwisho wa sentensi .....is dead! bila kuongeza chochote inamaanisha, kufurahia kufa kwake mfano yule
ALIYETUSUMBUA,
YULE MTU MBAYA,
AFADHALI AMEKUFA. ama yule
ADUI yetu,
IS DEAD!
 
Back
Top Bottom