Fidel Castro, kiongozi aliyekuwa mwiba kwa Marais 11 walioitawala Marekani

Bwana trump amesema kuwa " Leo ulimwengu umeshuhudia kifo cha dikteta katili aliyewakandamiza watu wake kwa karibu miongo sita. Utawala wake ulikuwa wa watu kuuawa kwa kupigwa risasi, wizi, mateso yasiyoweza kufikirika, umaskini na ukiukaji wa haki za binadamu" Je, kwanini kasubiri mpaka amefariki bwana Castro ndo aongee hivyo? Si angeongea wakati jamaa yuko hai? Hii ni dalili gani kwa nchi ya cuba? Wataalamu tusaidieni hili jambo kiundani zaidi. Chanzo; BBC Swahili
huyo trump anatafuta kiki Hana ishu wacha povu limtoke dadeqqqqqqqqkkkkkiii
 
Castro alikua dictator na mshenzi kama akina Mugabe, Museveni and the ilk
 
Right on target - an all time racist bigot ignoramus of a moron is what is in place now .
 
View attachment 440145

Nimesoma salamu nyingi za RIP Fidel Castro, hii ya DJT ni kiboko.

Sijaona yeyote aliyekuwa hasi na Hayati Fidel Castro zaidi ya huyu.

Angekuwa Tanzania sijui angeandika nini kuhusu Sitta na Kombani (RIP)
Sio huyo viongozi wote wakubwa marekani wame tweet vby kuhusu comrade ,Fidel kwao ni kama iddi amin kwa Tanzania
 
Ikiwepo sababu ya kuaminishwa, wananchi watayaamini wanayo aminishwa, ukweli ni kwamba wa CUBA marekani iliwaaminisha kuwa utawala wa FIDEL CASTRO ni wa kidikteta kwa zaidi ya miaka 50, lakini hawakuamini, lakini wananchi wa LIBYA waliaminishwa kwa mda mfupi tu, kuwa MUAMAR GADAFI ni dikteta na wakaamini, hiyo inamaanisha Gaddafi kweli alikua dikteta
shida si kuamishwa,wacuba wapo marekani kibao ,na hichi kifo ni furaha kubwa kwao.
 
Obama alivyotua Cuba ,Raul hakuenda kumpokea airport,wakaonana kesho yake,wamarekani walipiga kelele sana kuwa rais wao alivunjiwa heshima,alidharauliwa

Matukio kadhaa Raul alimfanyia Obama ya kidharau

Hakupokea kumbatio la Obama Bali aliushika mkono wa Obama kidharau

Tofauti ni kuwa Raul&Fidel ni ndugu na wenye mtizamo mmoja

Mkapa alikuwa ktk uongozi ambao usocialist ulikuwa ushakufa kitambo kipindi cha mwinyi wkt Raul bado anaendeleza legacy ya ndugu yke



cf427e50e3be39a014baa8b9346b8c45.jpg
dharau ipi sasa itamsaidia wakati eagle alishuka na kufanya aliyofanya?Raul na Castro walikuwa wakijisikitikia kwa miaka zaidi ya 50 walifanya kazi bure
 
Fidel castro the only US enemy how survived 600 CIA assassnation attempts...

Wapuuzi wa kizungu walishindwa kumua jamaa! Hadi Mungu kamchukua mwenyewe..
haha. na waliomuokoa ni wapuuzi wa kizungu pia.Warusi na ujerumani mashariki.
 
Kiujumla US walikuwa wamesanda mbele ya huyo jamaa na kifo chake ni kama sherehe flani hivi very amaizing.
 
Kiujumla US walikuwa wamesanda mbele ya huyo jamaa na kifo chake ni kama sherehe flani hivi very amaizing.
The Guys is dead and REALLY DEAD. Rasilimali alizogawa duniani ktk nchi za wavivu km Tanzania ambayo hadi leo haijatoka ktk tope,wala kuwa na nia ya kujinasua, bora angetumia kuiinua cuba, ili leo cuba iwe na uwezo mzuri wa kusaidia wanaojielewa. Miaka 50 wa cuba wanalea , wajinga hadi wanakufa hakuna waliyemsaidia kafanikiwa hata wajipe matumaini na kuona ch akujivunia.
 
Back
Top Bottom