The_future
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 215
- 162
Ndio maana ana watu wachache, anaimba ngumu ili iweje? Keep it simple!hahahaha joh makini hawezi mfikia.fid q bana.sema wengi mnachanganya hawa watu wanafanya hip hop tofauti kabisaa na ndio maana mtazidi kuchanganya na kuona joh ni bora kuliko fid q.
fid Q anafanya hip hop ngum sanaaa. na kumwelewa na ngum sana vile vile.fid Q ni kama mpoto
Hajamfikia One The Incredible.
One the incredible anaandika lyrics zenye ukakasi fulani wenye originality.kiranga mziki unaujua NICE.....ukitazama kwa jivho la kujua mziki utagundua watu wana wasahau sana VIJANA WA TAMADUNI MUSIC......pata kuisikia One incredible ft Damian soul-Ne yeye
Mahaba mabaya.. Mwaka ndio kwanza umeanza, ay, Fa, Makini, Weusi, na wengine kibao hawajafanya yao then unasema Ni video bora ya mwaka DUNIANI... "Nakataa, Hata Mungu Anashangaa"Walk it off
Video bora ya HipHop duniani kwa huu mwaka.
Mkuu Kadgo si msanii mwingine?..Au hiyo ni a.k.a nyingine ya Ngosha?Ongeeeni sana!
Lakini Ngosha atabaki tu kuwa king hapa Bongoland.
Kill yourself if you ain't feelin him.
Fid Qadiggo ndiyo Rapper best.
Hata liver bado inachukuliwa kama timu kubwa kutokana na historia lakini ukweli ni kwamba ni katimu ka kawaida sana siku hizi.Ongeeeni sana!
Lakini Ngosha atabaki tu kuwa king hapa Bongoland.
Kill yourself if you ain't feelin him.
Fid Qadiggo ndiyo Rapper best.
Haya, tukiwaambia jamaa kaisha anasafiria historia yake, mnabisha! Ona sasa, songi lina wiki kadhaa lishachuja!MAMA YANGU WEEEH, JOH MAKINI IS DEAD ONCE AGAIN.......
ASANTE FID KWA KUNIONYESHEA KUA YULE DOGO JOH HANA LOLOTE KWENYE UKALI WA HIP HOP HAPA BONGO PALE UNAPOTAJWA WEWE
Nasikia wimbo wake wakat unatambulishwa alitambulishwa kama underground kwenye trace musicnyumba njaa, ukisinzia unapata zero
dunia ya vichaa, mwehu ni chizi na pia ni hero..
Duh! Hii nini sasa. Ajikite tu soko la east afrika hasa Tz.Nasikia wimbo wake wakat unatambulishwa alitambulishwa kama underground kwenye trace music