Mkuu usipanic kila mtu anavitu anavyopenda kwenye mziki,kuna mwingine anapenda beat tu hata kama mashairi kaputi kuna mwingine flow tu,mwingine mashairi kuna mwingine ili apende wimbo anaangalia vitu vyote kikimiss kimoja anakuwa haikubali.fid q big up, big up, big uuuuuuup... ilo ngoma nimelielewa!! wewe kama hujaelewa there two things involved in your mind. one: muda wako wa kuelewa bado hujafika kwa io usijali akili yako ikikomaa utaelewa, and two: una knowledge ndogo ya kuchanganua mambo. So if you dont understand its better to shut the f*ck up and be quite until mda wako mkifika. Just for peace # one love #
....ila hilo boya lililosema anapiga makelele tu ni shoga,zake taarab vidole juu!Mkuu usipanic kila mtu anavitu anavyopenda kwenye mziki,kuna mwingine anapenda beat tu hata kama mashairi kaputi kuna mwingine flow tu,mwingine mashairi kuna mwingine ili apende wimbo anaangalia vitu vyote kikimiss kimoja anakuwa haikubali.
Sijausikiliza huu wimbo nilitaka kuweka sawa tu sio kila asiyeukubali huu wimbo basi ana upeo mdogo mwingine labda hajavutiwa na flow etc
We ni wakupima akiliAnapiga Kelele tu hamna kitu.
pole mchaga kwa wivuAnapiga Kelele tu hamna kitu.
una roho mbaya zaidi ya sumuAnapiga Kelele tu hamna kitu.
pole mchaga kwa wivu
una roho mbaya zaidi ya sumu
We ni wakupima akili
Jamaa Yenu ni Mkali Sana,Yupo Level kama za Kina Notorious BIG,Run DMC,De La Soul,Rakim na Kwa Hili Goma Lazima Tunzo ya Hip Hop Bora achukue maana ngoma ni Hatari inatisha 16 barz za hatari.....ila hilo boya lililosema anapiga makelele tu ni shoga,zake taarab vidole juu!
sawa mchaggaJamaa Yenu ni Mkali Sana,Yupo Level kama za Kina Notorious BIG,Run DMC,De La Soul,Rakim na Kwa Hili Goma Lazima Tunzo ya Hip Hop Bora achukue maana ngoma ni Hatari inatisha 16 barz za hatari.
....wewe kuzi tu!Jamaa Yenu ni Mkali Sana,Yupo Level kama za Kina Notorious BIG,Run DMC,De La Soul,Rakim na Kwa Hili Goma Lazima Tunzo ya Hip Hop Bora achukue maana ngoma ni Hatari inatisha 16 barz za hatari.
shabiki wa manfongo una povu la safari lagerUsiforce tufanane...Sio kila ngoma unayoikubali wewe na sie tuikubali,kila mtu ana choice yake...Kuna watu wanamuelewa man fongo na wengine hawamuelewi so usiforce watu wawe sawa kimtizamo....Hiyo Sumu Jamaa yako anapiga Makelele tu.
Wewe unafikili kutumi nn!!? Na anatizama Kwa kutumi nini au jicho la 3!? A.k.A 0713Anapiga Kelele tu hamna kitu.
We jamaa kama co wa std VII bac form 4 failureAnapiga Kelele tu hamna kitu.