PreGE2025 Fid Q: Kadi yako ya Kupiga Kura itakuwezesha kupiga Kura ili umpate kiongozi ambaye ni chaguo lako

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
4,783
Reaction score
14,975
Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka na hiyo inamaanisha unaamua maisha yako ya sasa na ya baadaye.

1742821413993.png
Anasema unaposhiriki Kupiga Kura inamaanisha hiyo ndio njia pekee ya kuwa na kiongozi ambaye wewe unamtaka, ili kutimiza hilo unatakiwa kuwa na Kadi ya Kupiga Kura, hivyo basi ni jukumu lako kwenda kujiandisha na upate Kadi ambayo itakupa haki yako ya Kikatiba.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Anasema unapopiga kura unajitoa kwenye kundi la Watu ambao watakuwa wakilalamika kuhusu uwepo wa kiongozi ambaye hawakumtaka

Fareed K. Kubanda “Fid Q”
Msanii Bongo Fleva / Hip Hop
 
Kwani huyu Fareed Kubanda alibadilisha uraia na kuhamia USA...🤔
Maana anaongea kama alisha hama hii nchi aiseeee.....🤨
 
Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka na hiyo inamaanisha unaamua maisha yako ya sasa na ya baadaye.

Anasema unaposhiriki Kupiga Kura inamaanisha hiyo ndio njia pekee ya kuwa na kiongozi ambaye wewe unamtaka, ili kutimiza hilo unatakiwa kuwa na Kadi ya Kupiga Kura, hivyo basi ni jukumu lako kwenda kujiandisha na upate Kadi ambayo itakupa haki yako ya Kikatiba.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Anasema unapopiga kura unajitoa kwenye kundi la Watu ambao watakuwa wakilalamika kuhusu uwepo wa kiongozi ambaye hawakumtaka

Fareed K. Kubanda “Fid Q”
Msanii Bongo Fleva / Hip Hop
Huyu ni hovyo sana! Kwa uhuni aliouasisi yule mwendawazimu Kuna uchaguzi tz? Acha ujinga wewe!
 
Staa wa Hip Hop Nchini, Fid Q anazungumzia zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura kwa kusema Kasi ya Kupiga Kura ni muhimu na inakupa uhuru wa kumchagua kiongozi unayemtaka na hiyo inamaanisha unaamua maisha yako ya sasa na ya baadaye.

Anasema unaposhiriki Kupiga Kura inamaanisha hiyo ndio njia pekee ya kuwa na kiongozi ambaye wewe unamtaka, ili kutimiza hilo unatakiwa kuwa na Kadi ya Kupiga Kura, hivyo basi ni jukumu lako kwenda kujiandisha na upate Kadi ambayo itakupa haki yako ya Kikatiba.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Anasema unapopiga kura unajitoa kwenye kundi la Watu ambao watakuwa wakilalamika kuhusu uwepo wa kiongozi ambaye hawakumtaka

Fareed K. Kubanda “Fid Q”
Msanii Bongo Fleva / Hip Hop
Inakuaje inafika muda wengi wanalalamika kuliko wachache kumaanisha ya kwamba wengi wamekosa kiongozi wanaomtaka?, au je kwanini wengi hulalamika baada ya matokeo kwa kipindi cha muda mrefu? Tatizo takwimu za ambao hawajaridhika hazionyeshwi na tukisimama ma elfu tunyooshe mikono juu basi swala lakujali Wengi wapewe lingejalisha
 
Back
Top Bottom