Imba wewe kuhusu madawa, rushwa uone kama kuna mtu atakusikiliza! guys mnachukulia mambo rahisi sana.
Hivi kuna mtu anamsikilizaga GHETTO AMBASSADOR... mbona haigi!?
Sanaa gani hii ya kukopi!? Kuna vingi vya kuimba jamani... Madawa ya kulevya na Maradhi... Rushwa na Ubaguzi wa Rangi.
Mwambieni.. Aumize kichwa kama Anavyojitahidi kwenye baadhi ya Ngoma za Kushilikishwa.
Kwa mantiki hii wote wanaofanya sampling hawajui sanaa ? Tukianza na 2Pac ambaye Dear Mama alichukua instrumental na ngoma zake nyingi tu amefanya sampling ...., Bofya hapo chini uone ni ngoma ngapi...
2Pac | WhoSampled
Kwa Ufupi....
2Pac:
Has sampled others 415 times.
Has been sampled 424 times.
Has been covered 27 times.
Has been remixed 61 times.
Notorious B.I.G:
Has sampled others 314 times.
Has been sampled 1,053 times.
Has been covered 20 times.
Has been remixed 40 times.
Kwahio unless unataka kubadilisha Rules of the Games..., wewe unayoiita Sanaa sio Sanaa....
Instrumental na mistari ni sawa eti!?
Rules of the games ndo zipi hizo baharia!?
Rules of the game ni kwamba Sampling kwenye Music na Hip Hop ni jambo la kawaida...
Kwahio na Changes ya 2Pac ile chorus ya Just the way it is ni instrumental ?
Hakuna mstari kwenye wimbo wowote ambao haujawahi tumika kwenye wimbo mwingine.
Mwisho wa siku tutaanza kuzuia hadi maneno yaliyokwishatumiwa na watu wengine tusiyatumie...tuwe tunatunga maneno mapya kila mara...
-I'm the diamond in the dirty that haven't been found(50 cent):::Mie ni almas mchangani sema tu sijastukiwa(mwana fa).