Msanii na mwalimu wa muziki wa Hip Hop wa kipindi cha Ujamaa Hip Hop Darasa, Fid Q ameachia audio ya wimbo wake Bendera ya chuma aliomshirikisha Ben Pol ikiwa ni wiki sasa tangu asikike katika collabo na Stamina. Usikilize hapa
Huu wimbo Fid q kazingua na sababu kubwa ni kwamba production ya wimbo kaifanya Nisher huyu mtengeneza video.
Beat sijaielewa kabisa nadhan watakuwa marafiki badala ya kufanya kazi wanafanya ushikaji katika kazi otherwise asingekubari kuachia ngoma mbovu kama hii.
mashahiri ni makali mno kama kawaida ya Fareed ni mwandishi mzuri siku zote...tatizo la wimbo huu ni beat yaani ni beat mbovu mpaka naona aibu kuielezea
wewe huo ni uchovv wa kufkr. hakuna nymbo kama bendera ya chuma kwa fid q na ile beat n moja ya beat ambazo hazj tokea tena kwa farid. bt ny mzk mmeujua mwaka 2006 nn?