FIBA Basketball World Cup, Spain 2014

Mchezo unaoendelea ni kati ya Croatia na Senegal

cc: yoyo
 
Last edited by a moderator:
Rugby Union, mi sina TV hapa nilikuwa natafuta live stream chanel kwa internet sasa ndo nimeipata, nacheki game ya Spain vs Brazil. Waspanish wanatisha, 1st quater imeisha wako mbele kwa point 30-14.
Ngoja tuone.
 
Israel hawamo!!! Jana nilicheki Game ya France quater ya kwanza alikuwa nyuma kwa half basket hii ni world Cup gani kama Marekani hayumo?

Marekani wamo, wanacheza kwenye kundi B. Google utaona timu zote.
 
Game ya mwisho leo 1/09/2014 imekwisha wenyeji Spain wamewafunga Brazil kwa point 82-63.
MVP wa mechi ni Paul Gasol, point 26 rebound 9.
 
Mchezo kati ya Angola na Mexico ndio unaendelea hapa Arena Gran Canaria... Mexico wanaongoza.
 
Lete updates za mchezo wa Angola, mimi najaribu kuserch live stream kama nitaipata sijui. Sometimes mitandao huwa inazingua.
 
Mchezo kati ya Angola na Mexico ndio unaendelea hapa Arena Gran Canaria... Mexico wanaongoza.

Nimechelewa kuangalia mchezo, nipe matokeo. Sasa ninasubiri mechi ya USA na New Zealand, nafikiri utakuwa mchezo mzuri.
 
Game ya mwisho leo 1/09/2014 imekwisha wenyeji Spain wamewafunga Brazil kwa point 82-63.
MVP wa mechi ni Paul Gasol, point 26 rebound 9.

Anaitwa Pau herufi L hana jina lake lashangaza Nimetizama makundi Nimeiona Marekani The Dream Team
 
The Dream Team wameshinda kwa tofauti ya point nyingi sana jioni hii. Mi natabiri bingwa atakuwa Marekani au Spain.
 
Marekani ndie.... atatwaa tu.... sidhani kama atafanya makosa kama kuna mwaka fulani hivi alizembea kombe likasombwa...
 
Kumbuka fainali za olimpic ya London, wamarekani walishiwanda wahispania kwa point kidogo sana, na mashindano haya yanachezwa kwao, tusubiri tuone.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…