FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

UPdate jamani, M23 wamesha-cross border na kuingia walikotoka, ama bado wamejificha milimani ndani ya DRC?
 
JokaKuu , mtu mwenye kiwango hiki cha uelewa kujadiliana naye sijui tunaanzia wapi.
Huyu ni mtu wa Kagame yupo kwa propaganda. Alijificha sasa yupo wazi.

He is uninformed, ignorant and a kinda puppet
Nguruvi3,

..hata mimi nimeshtukia kuwa he is part of KAGAME'S PROPAGANDA MACHINE.

..tatizo ni kwamba he is doing it at the wrong place, also he is not good at it.

..sasa hivi kuna mpaka wanadiplomasia wa Rwanda ambao they r busy on twitter kueneza chuki na uhasama.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu , mtu mwenye kiwango hiki cha uelewa kujadiliana naye sijui tunaanzia wapi.
Huyu ni mtu wa Kagame yupo kwa propaganda. Alijificha sasa yupo wazi.

He is uninformed, ignorant and a kinda puppet
Nguruvi3,

..hata mimi nimeshtukia kuwa he is part of KAGAME'S PROPAGANDA MACHINE.

..tatizo ni kwamba he is doing it at the wrong place, also he is not good at it.

..sasa hivi kuna mpaka wanadiplomasia wa Rwanda ambao they r busy on twitter kueneza chuki na uhasama.
 
Last edited by a moderator:
Eti komando wa rwanda nimeona mahala fulani anavunja katofari kwa ngumi, hata teja wa jangwani anaweza hiyo.
 
3_zps0d14b110.jpg


4_zps562aef3f.jpg


2_zpsafe1a7a3.jpg


5_zps523d77fc.jpg


BE67872D-77A2-4AAE-B1E2-6872D63E06C2_mw1024_mh1024_s_cy4.jpg


tanzania ndiyo iliyokomboa kusini mwa Afrika............now ni zamu ya central africa kuwa huru kutoka kwa mkoloni mweusi.......tukimaliza hapo tunaingia kwingine.....tukumbuke tukimuacha huyo jamaaaaaaa, atavuka mpaka hadi kwetu.....................Mungu ibariki Afrika............Mungu ibariki tanzania........tafuta hayo maneno katika nyimbo za ttaifa za mataifa mengine uone kama wanaiombea Afrika... ni machache sana ikiwemo Tz..so we real love Africa
 
Naridhishwa na kiwango cha uzalendo kwa taifa kinachoonekana hadi sasa. Safi sana kumbe yapo yanayotuunganisha....hili ni pigo kwa kina murutongore and co.
Mkirua upo? kwahili la kuacha siasa na kuwa mzalendo wakati mwingine huwa nakusifu Mangi wangu, kuliko kina adolay wanaowasifia mamluki kuja kuchafua hali ya hewa humu ndani km kina Koba, MUKAMASIMBA, the QONQUERER waliingia hadi na matusi km sio kutumwa ni nini?
Waasi wa M23 kusitisha mapigano DRC - BBC Swahili - Habari[h=1]Waasi wa M23 kusitisha mapigano DRC[/h] Msaidizi wa katibu huyo mkuu wa Umoja wa Mataifa, amenukuliwa akiiambia Umoja wa Mataifa kuwa wapiganaji wa kundi la waasi wa M23, wameonekana wakirusha makombora wakilenga Rwanda.Serikali ya Rwanda imesema jeshi la Congo lilirusha makombora hayo, madai ambayo yamekanusha na serikali ya Congo.
Wengi wa wapiganaji wa M23 ni wanajeshi walioasi jeshi la serikali, wengi wao wakiwa wa kibila la Kitutsi sawa na uongozi wa Rwanda.

Serikali ya DRC na Umoja wa Mataifa zimeishutumu serikali ya Rwanda kwa kuwaunga mkono wapiganaji wa kundi hilo la M23, tuhuma ambazo zimekanushwa na utawala wa Kigali.
Awali, katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito kwa rais wa Rwanda, kuwa mvumilivu huku uhasama kati yake na nchi jirani ya Congo, ukiendelea kutokota katika maeneo ya mipakani.


Bwana Ban, alizungumza na rais Paul Kagame baada ya serikali yake kuishutumu Congo, kwa kufanya shambulio katika ardhi yake makusudi na kumuua mama mmoja na kumjeruhi mtoto wake.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MUKAMASIMBA, nikisema kuwa strategic maana yangu ni "Strategic kwa maana ya vita", si kupanda mlima peke yake. Kama umesawahi kufila Goma, upande wa mashariki ni safu ya milima na si sehemu zote ni rahisi kupata supplies kwa ajili ya vita. Kwenye vita, ushindi hutokana na mikakati, na mojawapo ni kukata supply kwa adui. M23 walikuwa wanajua hili na ndio maana walikuwa wanapigana kwa nguvu zote kulinda mlima huu.
 

Kwani yeye ni nani? Hata awegumzo ndani ya nchi yenye watu zaidi ya 45M!!Nimuhimu majirani wajue sisi ndiyo kidume ukanda huu,vijana wetu wa leo wafahamu historia.Wakati ule wa utawala wa makaburu Tanzania ndiyo nchi pekee kati ya zile nchi tano zilizokuwa msitari wa mbele katika ukombozi wa nchi zilizo kuwa kusini mwa Afrika.Ambayo haikuwahi kushambuliwa na Afrika ya kusini wakati huo pamoja na kuwa na jeshi la kisasa zaidi.Lakini makaburu walitugwaya sembuse huyo kimbaumbau mwanasesere!!

mkuu mimi nina iman kubwa sana na TPDF, wanaouwezo mkubwa sana wa kulinda mipaka yetu.
 
Kuweni makini wajinga(wazungu) wanatupiganisha sisi waafrika! Siungi mkono vita hii ila pia siungi mkono M23.....!!!! Inaleta taabu sana kama ukiifutilia vizur vita hii!! Nawachukia xaaana Wazungu.
Once gen. Kagame alisema hakuna sababu ya kulaumu wazungu kama tnajua wanatuchonganisha ili tubaguane. I saw him, may be he will still be by keeping his word,as new bright star of africa's unnecessary killing. he seems to have turned into a conservative. Has he changed his views on ubaguzi uliojengwa na wazungu? Kama kweli wazungu wanatupiganisha nasi tunajua tunafitinishwa basi tu majuha kwa kutojithamini.Mipaka ya 1885 haikujali makabila yawenyeji kuzagaa pande mbili. Na hilo tunalijua na kwa hiyo lazima tulikubali kwa kutambua utaifa lazima uheshimiwe na si kuanza kuunda mipaka mipya kulingana na makabila. Na mataifa lazima yaheshimuukweli huo la sivyo hii migogoro haitaisha kwa ndoto ya homogenisation of nations outside the territorial boundaries.
 
Lakini jamani mwisho wa siku UN haiwezi kum babysit Kabila siku zote. Kama alivyosema Obama na yeye lazima a step up game yake kidogo akunjue makucha na kuwa mkali na hawa wanyamulenge. Kama kuna wasumbufu awatulize kwanza au awapeleke uhamishoni kwa nguvu.
 
Mkuu MUKAMASIMBA, nikisema kuwa strategic maana yangu ni "Strategic kwa maana ya vita", si kupanda mlima peke yake. Kama umesawahi kufila Goma, upande wa mashariki ni safu ya milima na si sehemu zote ni rahisi kupata supplies kwa ajili ya vita. Kwenye vita, ushindi hutokana na mikakati, na mojawapo ni kukata supply kwa adui. M23 walikuwa wanajua hili na ndio maana walikuwa wanapigana kwa nguvu zote kulinda mlima huu.

Huwezi kulinda mlima wakati unashambuliwa kwa ndege na helicopters hehehe
 
Kamanda wangu Mwita Maranya tangu uachane na msuba akili za kitaifa zimerudi; inaonekana elimu ya utaifa unayoipata kutoka kwa Arushaone imesaidia sana!

chama siku zote mimi nina akili nyingi kuliko wewe pamoja na maccm wenzako wote. Kinachowaponza vibaraka wa ccm ni kukubali kuwa misukule ya ccm na kusahau maslahi ya nchi.Mimi nimezaliwa na kamanda wa JWTZ aliyepigana mstari wa mbele vita ya Kagera 1978-1979, aliongoza mapambano ya kumtimua nduli Idd Amin Dadaa hadi akaingia nchini Sudani.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu,

Salaam.

FIB Tanzanian special forces (part of MONUSCO) imeichukua ngome kuu ya waasi wa M23 ya Kibati (Nyirangongo Territory - Goma, Eastern DRC).

attachment.php


Mizinga ya wapiganaji wetu ilirindima na kutembeza mabomu mfululizo huku askari wetu wa miguu wakipanda mlima ulio eneo hili na kisha kuichukua ngome hii.

Najitahidi nikiweza niwawekee video baadae.

kamu mmbwa wa kitus hao wanaroho mbaya kama nini sijui kwao kumewashinda wameona waambukize ujinga wao kwingine ! tuwatandike mpaka waipate habari yao , tukitoka huko tuondoa ile taktaka pale kigali tunaweka utawala tunaoutaka sisi mpaka tuwe america ya africa one day
 
Back
Top Bottom