Kwa wale wajasriamali wenye ndoto ya sector ya usafirishaji na hawajweza kununua magari ya gharama hii ndio ngazi/daraja ya kupandio na hakika utawapiku wengi sokoni sababu inakula mafuta kidogo sana kuliko scania, uzito wa mzigo muko sambamba wote 30 tons sababu ya mizani hatasiku moja FIAT haikamatwi na mzani, Muda wa safari kwa mbali atawahi kati ya masaa 4-6 sababu ya traffic na police berrials na bumps barabani, Hivyo gharama za kununua CHINI, za Uendeshaji CHINI pia.