FFU Manyara leo kuna nini Mbona hivyo?

FFU Manyara leo kuna nini Mbona hivyo?

Maswezi

Member
Joined
May 25, 2019
Posts
47
Reaction score
48
Dah wakazi wa Babati mjini leo tulikua kama wakimbizi aisee!! Yaani ukikutwa mtu unatembea road ni kubebwa tu kwenye defender kutoka na pesa!!!! Yaani leo huku ulikua n mkimbizano.. tuu
 
Umetoa shilingi ngapi?
 
Kila siku naombea zali kama hizi zinipate niitendee haki Black Belt yangu.

Cha kusikitisha inawatokea wengine tu. Sijui na gundu!

Usisubiri mpaka wakuchokoze! wafuate kambini/kituoni kwao halafu jigeuze kama yule diwani wa Kigoma kwa tiketi ya ACT Wazalendo (Baba Levo). Unamshushia kipondo cha mbwa mwizi poti mmoja, halafu subiria matokeo.
 
Mimi nikiwaonaga tu nabadili njia
 
Usisubiri mpaka wakuchokoze! wafuate kambini/kituoni kwao halafu jigeuze kama yule diwani wa Kigoma kwa tiketi ya ACT Wazalendo (Baba Levo). Unamshushia kipondo cha mbwa mwizi poti mmoja, halafu subiria matokeo.
Mkuu tatizo sisi wenye Black Belt tuna miiko yetu tuliapa huko shaulin tample. Huruhusiwi kabisa kuprovoke na kuanzisha fujo maksud hadi uwe provoked kwanza. Mwiko kabisa kwetu kifuata fujo hii ni kutokanana mafunzo yetu na Mbinu zetu za hatari za kujiami na kupigana.

Sipendi kabisa kutumia silaha hasa bunduki ila nikishika kisu dogo halafu uingie anga zangu.
 
We dogo bangi acha utakuwa kama Dr shika
Never. Niko makini sana na spending. Nina nidhamu ya hali ya juu ya fedha, japo bangi na sigara ndo pekee natumia hela nyingi.

Hii kazi yangu ya asubuhi tu napoandika hii comment mwanaume naendelea kupiga mzigo sasa hivi ni ya masaa manne kwa siku ndio inalipa kodi tiketi bangi sigara na msosi na zagazaga zingine .

Hela ya kazi zangu mbili zingine jumla masaakumi kwa siku ni savings iyo hela aiguswi kamwe hata ukiniminya poumbou huwez chomoa mkono utatembea balaa.

Siwezi kuwa kama dk shika. Nikiamua sasa hivi sifanyi kazi naweza nikaishi bure milele PERMANENT residence permit maamaee.

Wee Endelea tu kugombania rimoti na beki tatu hapo kwa shemeji yako .
 
Mkuu tatizo sisi wenye Black Belt tuna miiko yetu tuliapa huko shaulin tample. Huruhusiwi kabisa kuprovoke na kuanzisha fujo maksud hadi uwe provoked kwanza. Mwiko kabisa kwetu kifuata fujo hii ni kutokanana mafunzo yetu na Mbinu zetu za hatari za kujiami na kupigana.

Sipendi kabisa kutumia silaha hasa bunduki ila nikishika kisu dogo halafu uingie anga zangu.
Black Belt. Black Belt...Hiyo miiko mliyopewa ni changa la macho maana hizo mnazoita MBINU HATARI za kufikirika mkirusha ngumi na mateke hewani au kuchezeshana mbinu nikimaanisha unarusha ngumi au teke alafu mwenzako anapangua. Kuna wenzako na tu belt twao wanapigwa na masela kitaa!
 
Screenshot_20190709-013722.jpg
Siongeagi saaanaaa
 
Back
Top Bottom