FFU akipigwa teke na mwandamanaji

Anthony Lawrence

Anthony Lawrence

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Messages
1,546
Points
1,500
Anthony Lawrence

Anthony Lawrence

JF-Expert Member
Joined Jan 5, 2011
1,546 1,500
Jaribu kuwafanyia hivyo FFU wa Bongo uone kama jina lako halijabadilika ghafla na kuitwa marehemu

kicking riot police.jpg
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Eee! Ili wale wanaojifanya kusema polisi wamewashambulia waandamanaji wasio na silaha wajue kinachojiri.
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,509
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,509 2,000
Polisi wa Tanzania ni noma, wanakupiga risasi kama saba, halafu baada ya hapo utasikia wakisema CHADEMA walirusha kitu chenye ncha kali
Jaribu kuwafanyia hivyo FFU wa Bongo uone kama jina lako halijabadilika ghafla na kuitwa marehemu

View attachment 74486
 
Jamsuldash

Jamsuldash

Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
70
Points
95
Jamsuldash

Jamsuldash

Member
Joined Jul 14, 2011
70 95
Hiyo ingekuwa bongo huyo jamaa tayar angewekwa kweye kund jngne aidha marehem au mlemavu. . .
 
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
4,891
Points
0
Ringo Edmund

Ringo Edmund

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
4,891 0
soma mabango yao vizuri hao ni police,hapa bongo tuna polisi.
 
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2008
Messages
10,253
Points
2,000
T

Tabby

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2008
10,253 2,000
Eee! Ili wale wanaojifanya kusema polisi wamewashambulia waandamanaji wasio na silaha wajue kinachojiri.
Hawa polisi hawana study zingine zaidi ya matumizi ya vitu vizito, vyenye ncha kali vinavyokwenda kwa mwendo wa kasi kutoka mbali? Kama hawajui ama hawawezi hadi waue, basi hakuna haja ya kuwa na chuo cha mafunzo ya polisi. Unamwona jamaa na wenzake walivyo stable na calm? Ingekuwa hapa si wangesha mwangosiwa kitambo?

Wala hili halihalalishi mauaji ya waandamanaji wa CDM wasiokuwa na silaha!. Polisi jifunzeni kuhandle uhalifu msikimbilie kuua. Huko ni kushindwa.
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Hawa polisi hawana study zingine zaidi ya matumizi ya vitu vizito, vyenye ncha kali vinavyokwenda kwa mwendo wa kasi kutoka mbali? Kama hawajui ama hawawezi hadi waue, basi hakuna haja ya kuwa na chuo cha mafunzo ya polisi. Unamwona jamaa na wenzake walivyo stable na calm? Ingekuwa hapa si wangesha mwangosiwa kitambo?

Wala hili halihalalishi mauaji ya waandamanaji wa CDM wasiokuwa na silaha!. Polisi jifunzeni kuhandle uhalifu msikimbilie kuua. Huko ni kushindwa.
hivi kwa nini chadema mnapenda kutetea upande wa uhalifu na kuuponda upande unaokabiliana na uhalifu badala ya kinyume chake?Inawezekana mna hoja ya msingi.hebu weka wazi hapa.
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,687
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,687 2,000
hivi kwa nini chadema mnapenda kutetea upande wa uhalifu na kuuponda upande unaokabiliana na uhalifu badala ya kinyume chake?Inawezekana mna hoja ya msingi.hebu weka wazi hapa.
Uhalifu unahusiana nini na CDM?

Kwa hiyo Mwangosi alirusha teke na yeye? Weka akili kichwani, kukaa kalia makalio
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
uhalifu unahusiana nini na cdm?

Kwa hiyo mwangosi alirusha teke na yeye? Weka akili kichwani, kukaa kalia makalio
sehemu inapokuwa na hali ya fujo anaweza akadhurika anaehusika na asie husika.kwa mfano;unakumbuka zile vurugu za arusha za kuwatoa watu waliokamatwa na polisi kituo kikuu cha polisi arusha zilizokuwa zinafanywa na chadema hatimae wakafa watu wawili mmoja wapo akiwa mkenya? Swali yule mkenya alikuwa anarusha mateke?unadhani polisi walikuwa wamekusudia kumuua mkenya?unadhani chadema wasingefanya fujo mkenya angekufa?baada ya fujo mbowe alitokea kwenye vyombo vya habari anasema mnaona serikali ya ccm imemuua mkenya na sisi tuna kitambulisho chake" huku sio kushabikia uhalifu?
 
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Messages
13,687
Points
2,000
Mwana Mtoka Pabaya

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Joined Apr 22, 2012
13,687 2,000
sehemu inapokuwa na hali ya fujo anaweza akadhurika anaehusika na asie husika.kwa mfano;unakumbuka zile vurugu za arusha za kuwatoa watu waliokamatwa na polisi kituo kikuu cha polisi arusha zilizokuwa zinafanywa na chadema hatimae wakafa watu wawili mmoja wapo akiwa mkenya? Swali yule mkenya alikuwa anarusha mateke?unadhani polisi walikuwa wamekusudia kumuua mkenya?unadhani chadema wasingefanya fujo mkenya angekufa?baada ya fujo mbowe alitokea kwenye vyombo vya habari anasema mnaona serikali ya ccm imemuua mkenya na sisi tuna kitambulisho chake" huku sio kushabikia uhalifu?
Mimi huwa sipendi justifications za kipuuzi linapokuja suala la maisha ya watu. Hivi unaamini kweli yale yaliyotokea pale ndio tulioripotiwa? Naomba nikukumbushe kuwa kuna ile issue bungeni ya Mh. Godbless Lema 'WAZIRI MKUU MUONGO' ambayo spika ameikaushia mpaka leo. Kama ule ushahidi ungesomwa bungeni hata mimi ningekubaliana na wewe, lkn as far as kuna kitu kinafichwa, basi serikali ni dhalimu.

Siamini kama Watanzania wanafujo za kisiasa, mi nachoona ni makundi ya watu wakidai haki zao. Kama unataka kujua fujo ni nini ndio uangalie huko Greece, Chile na China, lkn kamwe hutasikia kauawa mtu japo waandamanaji huandamana na mawe, marungu na vyupa.
 
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined
May 9, 2012
Messages
7,916
Points
2,000
Azizi Mussa

Azizi Mussa

Verified Member
Joined May 9, 2012
7,916 2,000
Mimi huwa sipendi justifications za kipuuzi linapokuja suala la maisha ya watu. Hivi unaamini kweli yale yaliyotokea pale ndio tulioripotiwa? Naomba nikukumbushe kuwa kuna ile issue bungeni ya Mh. Godbless Lema 'WAZIRI MKUU MUONGO' ambayo spika ameikaushia mpaka leo. Kama ule ushahidi ungesomwa bungeni hata mimi ningekubaliana na wewe, lkn as far as kuna kitu kinafichwa, basi serikali ni dhalimu.

Siamini kama Watanzania wanafujo za kisiasa, mi nachoona ni makundi ya watu wakidai haki zao. Kama unataka kujua fujo ni nini ndio uangalie huko Greece, Chile na China, lkn kamwe hutasikia kauawa mtu japo waandamanaji huandamana na mawe, marungu na vyupa.
kudai haki!hivi unakumbuka shekhe aliekuwa anatetea muungano zanzibar na kupinga harakati za uamsho za kutaka kuvunja muungano; walichokifanya uamsho ni kumwagia asidi! je! walikuwa wanatetea haki zao? hivi mipaka ya haki ya mtu inaanzia wapi na kuishia wapi?unakumbuka askari aliyewawa kinyama na wanauamsho huko zanzibar kwa kulipiza kisasi kutokana na serikali kupambana na uhalifu wa uamsho?je?ni kweli kwamba watanzania hawana fujo za kisiasa? kwa macho yangu nimeshuhudia kwenye chuo fulani,wakati wanafunzi wanaandamana kutaka boom,waziri akaenda kuongea nao,akaongea akamaliza polisi wako kwenye magari yao hawaongei na mtu.wanachadema(walikuwa wamevaa magwanda na wanaonesha vidole viwili) walivyoona polisi hawawafanyi kitu Wakaanza kuimba "tuueni kamaa arusha" "people's power" kwa muda kama wa robo saa.walivyoona polisi wametulia tu hawafanyi kitu, wakaanza kuimba "polisi waondoke polisi waondoke',polisi walivyoona hivyo wakawa wanarudisha magari nyuma kuyapeleka mbali kuepuka shari,wana chadema walivyoona hivyo wakaanza kuimba "wajinga hawajaenda shule".polisi wakawa wanacheka tu.waziri akaongea akamaliza akaondoka.alivyoondoka magari ya polisi nayo yakawa yanaondoka.wadau kuona polisi wameondoka kwa amani wakaona hapana! wakaanza kutupia mawe gari ya polisi iliyo kuwa imebaki nyuma.polisi kuona hivyo wakaanza kupiga risasi hewani na mabomu,yowe zikaanza huku watu wanaruka huku na kule.baada ya hapo "polisi watumia nguvu tena" tathmini mwenyewe ! utajua lengo la CHADEMA nyuma ya pazia.
 
Forum statistics

Threads 1,283,676
Members 493,764
Posts 30,796,549
Top