FEZA school ni International school?

FEZA school ni International school?

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2016
Posts
4,291
Reaction score
14,787
Wasalaam wakuu!

Naomba kufahamu hilo, je Feza school ni international school kama ilivyo IST, Iringa International na n.k.

Au ni shule tu ya kawaida inayofuata mitaala ya Tanzania?
 
Sio international school.

International schools wana syllabus/mitaala zao/yao na hawapo chini ya NECTA.

FEZA ipo chini ya NECTA, taasisi ya serikali ya Tanzania na sio taasisi ya kidunia(international).
 
Feza zipo Aina mbili,Kuna zile za mtaala wa ndani YAAN NECTA,Hizi Ni Feza girls-ipo kawe,na Feza boys ipo kunduchi, Pili Wana International Feza schools inayofuata CAMBRIDGE SYLLABUS Hii ipo salasala, Lakini pia Wana Nursery and Primary schools located at Mikocheni and Kawe respectively!
 
Back
Top Bottom