Fever ofisi mpya...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fever ofisi mpya...!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Papa Mopao, Aug 27, 2012.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2012
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,355
  Likes Received: 388
  Trophy Points: 180
  Hivi ukiambiwa kesho unatakiwa ufike ofisini saa 3:00 asubuhi, huwa hutokewi na ile hali ya fever fever fulani hivi? yaani huu ndo ugonjwa wangu hasa ikitokea kwa ofisi mpya kabisa maana nikifikiria jinsi mazingira ya ofisi yalivyo mapya kwangu na sheria zake huwa napatwa sana na fever, lkn nikizoea aaaah mswano kabisa, sijui kwanini hili linanipata sana!
   
 2. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #2
  Aug 27, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,732
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Nyie ndo mnao bana kazi vijana wasipate,. Kutwa kubadilisha ofisi,. Lizikeni bwana huo nao ni ufisadi wa kuamahama ofisi
   
 3. m

  manushiboy Member

  #3
  Aug 27, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  post yako haina msaada humu ndani
   
Loading...