Festus Makerubi wa TBC1 na Mbwembwe Zake

Hiyo ndo swaga yake na ameamua kutoka vile.

Sasa mlitaka atangaze au acheke kama Fetty?
 
Wengine wanasema anatoa coverage kubwa kwa dhehebu lake mengine anabania

Makerubi ni mtangazaji mbaya hajui kuchanganya nyimbo za injili yeye ame base zaidi kwenye dhehebu lake na mtangazaji mzuri hatakiwi kuwa hivyo. Mimi huwa ananichefua kabisa na huwa sipendi kumtazama.
 
Kwani kubeiz R.C inawakera nini,hivi nyie wapenda boringo-za mungu mkoje? Unataka iwekwe nyimbo watoto wako waanze kulukaluka sebuleni hapo unasikia raaaaha.
 
Really? u guys are now discussing people? well maybe iam in the wrong forum or thread cmon great thinkers!!!!!!
 
Kwani kubeiz R.C inawakera nini,hivi nyie wapenda boringo-za mungu mkoje? Unataka iwekwe nyimbo watoto wako waanze kulukaluka sebuleni hapo unasikia raaaaha.
ni kwel nyimbo za RC na Wasabato ziko poa sana hazina makeke mengi kama za kina rose mhando.ila ninamashaka na RC kwa siku za uson nahisi wataanza kurukaruka na kukata viuno kama wafanyavyo waumini flan wa madheheb ya ki-born again.
 
haha haha... Duh mi huwa namshangaa... kuna wakati huwa namwona kama hazimo zote vile. Type kama za akina George Maratuuuuuuuuuuuu wa IIIIII TTTTTT VVVVVVVVV l.o.l
 
Mimi namuonaga kama comedy fulani hivi ambaye havutii kabisa kwenye kazi yake ya uchekeshaji. Wakati mwingine naona anaweka manjonjo na mapose ya watangazaji wa vipindi vya taarabu vya kwenye luninga! Hafai kabisa kwenye kutangaza vipindi vya nyimbo za Injili. Hivi sijui kwa nini TBC hawajaliona hili na kumrekebisha
 
Kipindi chake anachokiwezea ni 'Zamadam',na siyo migospel,mapozi yanazidi sana,anaonekana kama muhuni flan hivi!!yaani hana mvuto!acha mapozi ya kike kijana.
 
Hajapatia vzr.Manjonjo watangazaji waweke popote ila mambo ya Mungu yanahitaji mtu awe real au kama anabadilika iwe halis siyo uigizaji anaofanya jamaa.Angebak kwenye zamadamu ila mm kiujumla sipendi mapoz yake.
 
Back
Top Bottom