Ferooz alitupiga!

Ferooz alitupiga!

Fasihi iliyokomaa haipindishi facts. Utaelimishaje jamii kwa facts za uongo? Nyimbo ni nzuri ila ina kasoro kwenye jicho la kisheria.
hadithi njoo, uongo njoo, utamu kolea, ni facts za uongo ila ujumbe unafika na ni kazi ya fasihi pia
 
Mbona sheria zetu zipo kwa lugha ya kiingelezq,wakati lugha yetu ya taifa no KISWAHILI.
Hivyo utaalam wenu pelekeni huko.
Tuleteeni mada jengefu.
 
Mbona sheria zetu zipo kwa lugha ya kiingelezq,wakati lugha yetu ya taifa no KISWAHILI.
Hivyo utaalam wenu pelekeni huko.
Tuleteeni mada jengefu.

Mada zinazojenga ni pamoja na hili la kudadavua Sheria. Ukivunja sheria, utaadhibiwa tu na kusema kwamba zimeandikwa kwa kiingereza hukuelewa haitakusaidia wakati huo. Karibu tuendelee kujifunza.
 
Back
Top Bottom