Fernando Torres kaumia vibaya na kuzimia uwanjani

issakwisa6810

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
309
84
Fernando Torres kazimia uwanjani baada ya kuruka kupiga kichwa mpira ndipo alipo dongoka na kutanguliza kichwa na kubana mdomo na kuzimia,tupeane habari zake kwani alitolewa na machela kwenda hospitali
 
AJALI KAZINI.....

FERNANDO TORRES APATA AJALI MBAYA AKIWA UWANJANI LEO HII BAADA YA KUCHEZEWA FAULU KATIKA MCHEZO ULIO ZIKUTANISHA TIMU YA DEPORTIVO LA CORUNA vs ATLETICO MADRID...

TORRES ALIGONGWA KICHWANI WAKATI ANAGOMBANIA MPIRA WA JUU DHIDI YA MCHEZAJI WA DEPORTIVO LA CORUNA

MCHEZO ULISIMAMA KWA TAKRIBANI DAKIKA 10 HUKU BAADHI YA WACHEZAJI WAKIONEKANA KUWA NA HUZUNI KUBWA MPAKA KUTOKWA MACHOZI....

AMEPATIWA HUDUMA YA KWANZA ILA HAKUWEZA KU RECOVER HALI ILIYO PELEKEA AKIMBIZWE HOSPITAL
 
Picha
add4db7eb00231b71d4a1ce3555ff2a7.jpg
871fd174336db1bca618a7be30f5d171.jpg
 
Hii mipira ya kichwa kuna haja ya FIFA kukaa chini na kutafuta namna ya kuzuia matukio kama haya. Bahati nzuri wacheza wenzie walikuwa makini na kuwahi kuuondoa ulimi wake ili usizibe hewa vinginevyo angekuwa marehemu saa hizi.

Hatari Sana ndugu
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Hii mipira ya kichwa kuna haja ya FIFA kukaa chini na kutafuta namna ya kuzuia matukio kama haya. Bahati nzuri wacheza wenzie walikuwa makini na kuwahi kuuondoa ulimi wake ili usizibe hewa vinginevyo angekuwa marehemu saa hizi.
Nikweli ndugu, hapa ndipo ninapo uona umuhimu WA elimu ya Huduma ya kwanza kwa wachezaji
 
torres-conmo.jpg

Following the initial commotion, Atlético Madrid revealed on their Twitter feed that the player came out with a head injury, but his life is not in danger.

Nikweli ndugu, hapa ndipo ninapo uona umuhimu WA elimu ya Huduma ya kwanza kwa wachezaji
 
  • Thanks
Reactions: 999
Hii mipira ya kichwa kuna haja ya FIFA kukaa chini na kutafuta namna ya kuzuia matukio kama haya. Bahati nzuri wacheza wenzie walikuwa makini na kuwahi kuuondoa ulimi wake ili usizibe hewa vinginevyo angekuwa marehemu saa hizi.
Duuu!!
Ilikuwa hatari namna hiyo?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
¡BUENAS NOTICIAS!: A fernandotorres se le ha realizado TAC craneal y cervical. No hay alteraciones ni lesiones traumáticas está consciente y orientado, pasará la noche en observación en el hospital por protocolo médico. ¡Gracias por todos los mensajes de apoyo! -

GOOD NEWS!:
fernandotorres has undergone a cranial and cervical CT. There are no alterations nor traumatic injuries, conscious and lucid, he will spend the night in hospital for observation as per medical protocol. Thanks for the messages of support for Torres. -
 
Anaendelea vizuri na anaweza kuzungumza na ameshukuru kwa wapenzi wote wa soka kwa kumwombea bado yupo chini ya uangalizi wa madaktari ataruhusiwa soon
 
¡BUENAS NOTICIAS!: A fernandotorres se le ha realizado TAC craneal y cervical. No hay alteraciones ni lesiones traumáticas está consciente y orientado, pasará la noche en observación en el hospital por protocolo médico. ¡Gracias por todos los mensajes de apoyo! -

GOOD NEWS!:
fernandotorres has undergone a cranial and cervical CT. There are no alterations nor traumatic injuries, conscious and lucid, he will spend the night in hospital for observation as per medical protocol. Thanks for the messages of support for Torres. -
God is great.
 
Back
Top Bottom