Fenicha za ofisi zinauzwa, bei sawa na bure!

Fenicha za ofisi zinauzwa, bei sawa na bure!

biasharaTz

Senior Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
163
Reaction score
79
Habari wakuu!
Kuna fenicha zifuatazo zinauzwa
1. Meza za kisasa saizi ya kati mbili (2)@200,000Tshs
2. Viti vya kuzunguka vya plastiki na kitambaa rangi nyeusi viwili (2)@130,000Tshs
3. Viti vya kawaida vya chuma na kitambaa cheusi viwili (2) vinauzwa kwa bei @90,000Tshs
Muda viliotumika ni miezi 8 tu bado vina hali nzuri sana
Maongezi yapo
Mawasiliano 0755 411 455
Vinapatikana Kigamboni
1472555696582.jpg
1472555696582.jpg
 
Back
Top Bottom