Felix Tshisekedi hawezi kushindana na Moise Katumbi

hahaha,nakukumbuka chief,safi sana, ila siasa iko congo tu,rwanda hkn siasa
siasa ya congo mnaijadili sana humu
Kisababishi cha mjadala wa Congo ni Rwanda na mipango yake ya Siri. Ujio wa Kagame ktk Siasa za maziwa Makuu ni maafa kwa Congo. Mauaji ya 1994 anadaiwa kuhusika. Bado hatujui atasababisha nini maana bado yupo. Nachosubiri ni mwisho wake Kama nilivyousubiri wa Joseph Kabila.
 
safi sana , hakuna kisicho na mwisho
 
Moise Katumbi ni kiongozi mwenye nguvu sana sio nguvu ya kupigana nguvu ya akili

Mwaka 2015- 2017 Joseph kKbila aliona njia bora ya kumshinda Moise Katumbi ni kumpa kesi mbaya tu

Mwaka huu wanajaribu kumchafua lakini wapi

MUNGU akisema ndio hakuna wa kusema hapana

Sasa wamebaki kusema Moise Katumbi sio mkongomani wa baba na mama, hayo ni yenu

Sisi tunachohitaji ni kiongozi mwenye uwezo wa kuongoza nchi awe Mkongo au nani sisi hayatuhusu
Swali kwani baba na mama yake ni wakongomani?
 
Moïse Katumbi alizaliwa na mama Mkongo na baba Mgiriki aliye fahamika kwa jina la Nissim Soriano, aliyetorokea Rhodes kati ya vita viwili vya dunia ilipotawaliwa na Fascist Italy. Badae alikuja kuhamia Katanga, karibu na Ziwa Moero.
Sas huyu Mgiriki wa nini huko Zaire? Hawa ni vibaraka wa kudumu
 
Kama mzazi mmoja mbeligiji wasimpe nchi,Congo imeingizwa Sana na vibaraka na watu wenye damu za nje ya congo
Mobutu ambaye hana asili ya Ubelgiji au damu ya nje aliifanyia nini Congo zaidi ya kuwaibia na kuwaua wote waliojaribu kuongea ukweli, Katumbi ni Mcongoman halisi ana haki zote za kugombea kuwa Raisi, huu ubaguzi wa kishamba utawamaliza watu msio na akili kama wewe
 
H
tu ambaye hana asili ya Ubelgiji au damu ya nje aliifanyia nini Congo zaidi ya kuwaibia na kuwaua wote waliojaribu kuongea ukweli, Katumbi ni Mcongoman halisi ana haki zote za kugombea kuwa Raisi, huu ubaguzi wa kishamba utawamaliza watu msio na akili kama wewea
Haijalishi Mobutu alifanya nini,kumpa mtu nchi aliyechanganya damu na wakoloni na waporaji wanaotutia matatizoni ni kukosa akili zaidi
 
Moise Katumbi ni kiongozi mwenye nguvu sana sio nguvu ya kupigana nguvu ya akili

Mwaka 2015- 2017 Joseph kKbila aliona njia bora ya kumshinda Moise Katumbi ni kumpa kesi mbaya tu

Mwaka huu wanajaribu kumchafua lakini wapi

MUNGU akisema ndio hakuna wa kusema hapana

Sasa wamebaki kusema Moise Katumbi sio mkongomani wa baba na mama, hayo ni yenu

Sisi tunachohitaji ni kiongozi mwenye uwezo wa kuongoza nchi awe Mkongo au nani sisi hayatuhusu
Kwani ndio Saidoo mwenyewe au Mayele😂😂😂
 
H
tu ambaye hana asili ya Ubelgiji au damu ya nje aliifanyia nini Congo zaidi ya kuwaibia na kuwaua wote waliojaribu kuongea ukweli, Katumbi ni Mcongoman halisi ana haki zote za kugombea kuwa Raisi, huu ubaguzi wa kishamba utawamaliza watu msio na akili kama wewea
Haijalishi Mobutu alifanya nini,kumpa mtu nchi aliyechanganya damu na wakoloni na waporaji wanaotutia matatizoni ni kukosa akili zaidi
una nationale carde ya kupigia kura?
 
Back
Top Bottom