Mzee Wa Rubisi
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 1,757
- 437
Rekodi safi kabisa hii!Kijana mdogo kuliko wote,miaka 24 tu,mwanafunzi wa chuo cha SAUTI MWANZA mwaka wa 3 sheria kashinada ubunge kwa asilimia 97.72%.
ANAREKODI TATU
1.Mdogo kuliko wote
2.Kashinda kwa asilimia kubwa
3.mwanafunzi:israel::israel::israel::israel:
NI Felix Mkosamali kwenye Jimbo la Muhambwe KIGOMA NCCR-MAGEUZI:israel::israel::israel::israel::israel:
Fortunately, baba yake ni mkulima na sio FISADI!! Nyie wengine ni watoto wa Mafisadi kwa kwenda mbele; na baba zenu wanataka kuwarithisha uovu wao!!Nafurahia ushindi wa kijana huyo japo natamani jimbo hilo lingekuwa la CCM, atakuwa ni mfano mzuri kwa vijana wenzake.
Nafurahia ushindi wa kijana huyo japo natamani jimbo hilo lingekuwa la CCM, atakuwa ni mfano mzuri kwa vijana wenzake.
Halafu hao sisiem ndio wangefanya nini cha ajabu kwenye hilo jimbo?
Aliingia NCCR-Mageuzi Februari 19, 2010. Aliitisha mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) wakati akiwa likizo fupi ya chuo na kutangaza rasmi kuwa amerudisha kadi ya Chadema na kuhamia NCCR,Hilikuwa adhina ya cha cha chadema.