Felix Mkosamali: Mbunge mdogo (24yrs) toka NCCR, apata ushindi 97.72%

Mzee Wa Rubisi

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,758
437
Kijana mdogo kuliko wote,miaka 24 tu,mwanafunzi wa chuo cha SAUTI MWANZA mwaka wa 3 sheria kashinda ubunge kwa asilimia 97.72%.
ANAREKODI TATU
1.Mdogo kuliko wote
2.Kashinda kwa asilimia kubwa
3.mwanafunzi:israel::israel::israel::israel:
NI Felix Mkosamali kwenye Jimbo la Muhambwe KIGOMA NCCR-MAGEUZI
:israel::israel::israel::israel::israel:
Aliingia NCCR-Mageuzi Februari 19, 2010. Aliitisha mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) wakati akiwa likizo fupi ya chuo na kutangaza rasmi kuwa amerudisha kadi ya Chadema na kuhamia NCCR,Hilikuwa adhina ya cha cha chadema.
 
Kijana mdogo kuliko wote,miaka 24 tu,mwanafunzi wa chuo cha SAUTI MWANZA mwaka wa 3 sheria kashinada ubunge kwa asilimia 97.72%.
ANAREKODI TATU
1.Mdogo kuliko wote
2.Kashinda kwa asilimia kubwa
3.mwanafunzi:israel::israel::israel::israel:
NI Felix Mkosamali kwenye Jimbo la Muhambwe KIGOMA NCCR-MAGEUZI:israel::israel::israel::israel::israel:
Rekodi safi kabisa hii!
Taifa hili kwasasa linahitaji vijana wa umri huu, maana wazee tuliotegemea wawe na busara ndio hao wanakaa vikao na kutunga propaganda za uwongo za kuumaliza upinzani...eti, kuna udini, fulani atamwaga damu, amani yetu...and other crap!
Dogo, nice of you, Mungu akupe busara!
 
Nafurahia ushindi wa kijana huyo japo natamani jimbo hilo lingekuwa la CCM, atakuwa ni mfano mzuri kwa vijana wenzake.
 
Safi sana! Nafuu ni upinzani! Analeta imani nzuri na kuonyesha mwelekeo mzuri kwa taifa!!
 
Nafurahia ushindi wa kijana huyo japo natamani jimbo hilo lingekuwa la CCM, atakuwa ni mfano mzuri kwa vijana wenzake.
Fortunately, baba yake ni mkulima na sio FISADI!! Nyie wengine ni watoto wa Mafisadi kwa kwenda mbele; na baba zenu wanataka kuwarithisha uovu wao!!
 
Nafurahia ushindi wa kijana huyo japo natamani jimbo hilo lingekuwa la CCM, atakuwa ni mfano mzuri kwa vijana wenzake.

Halafu hao sisiem ndio wangefanya nini cha ajabu kwenye hilo jimbo?
 
Aliingia NCCR-Mageuzi Februari 19, 2010. Aliitisha mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) wakati akiwa likizo fupi ya chuo na kutangaza rasmi kuwa amerudisha kadi ya Chadema na kuhamia NCCR,Hilikuwa adhina ya cha cha chadema.
 
Aliingia NCCR-Mageuzi Februari 19, 2010. Aliitisha mkutano na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) wakati akiwa likizo fupi ya chuo na kutangaza rasmi kuwa amerudisha kadi ya Chadema na kuhamia NCCR,Hilikuwa adhina ya cha cha chadema.

nadhani huyu ni hazina ya taifa kama asipochakachuliwa, my tanzania inahitaji vijana wathubutu kama huyu bwana.
 
KIWA mwanachama wa chadema alikuwa form six alikuwa na wadhifa wa juu mkoani kigoma.
 
Hongera sana lakini jitahidi umalizie degree yako usije bweteka na hela za ubunge ukaacha masomo yako. Bravo!!
 
Kijana wa watu angeingia Chaka Chua Matokeo angepewa probation kwanza ya walau miaka kumi. Si jambo la kushangaza jamaa hawana mbunge hata mmoja wa kuchaguliwa below 35.
 
bravo dogo.....isipokuwa bwana yule aliyeshindwa anataka kwenda mahakamani kuinga matokeo....MUHAMBWE NI NGOME YA CCM....... WANA-CCM wameadhibu kwa kuletewa chaguo ambalo si lao.....!
 
Bunge la mwaka 2005 Zitto Kabwe ndo alikuwa mbunge kijana zaidi kuchaguliwa kutoka jimboni.
Bunge lijalo Mbunge kijana zaidi ni Felix Mkosamali toka kgoma pia yu po Kafulila toka hukohuko,Somo nnalopata hapa nikwamba naona jinsi gani ccm ilikuwa imewametelekeza kwenye Elimu ili iendelee kuwatawala ila hawa vjana wachache waliopata access ya Elimu wamewazindua watu wao na ndomana khali ipo iv.
 
Radio ya Chuo cha sauti ilifungiwa kwa sababu vijana wake au wanachuo wanaharaki za mageuzi aliitumia kutoa elimu ya uraia,mbunge wa sasa Mhambwe -Felix Mkosamali mwanachuo.ALIYEMALIZA hapo chuoni na alikuwa rais wa wanachuo Mbuge aliangusha mbuyu masha pale mwanza nyamagana.
 
Kwa CCM huyu ni mtoto kuna watu wana mpaka 68years bado wabunge wanaishia kusinzia tuu bungeni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom