King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 2,871
- 5,464
Ukitoa notice chini ya mwezi hurudishi mshahara unapewa mshahara wako but ukitoa ndani ya masaa 24….unarudisha mshaharaHuo utaratibu kwenye ishu za Ulinzi au serikalini, ila kwa sehemu zinazojielewa lazima utoe notice si chini ya Mwezi.
Unaonekana ww hujaajiriwa.