Nmecheka eti katika mkataba wao hakuna kipengele cha kuvunja



yan mkataba usiwe na kipengele cha kuvunja



hiyo 112m ni ya nn sasa? kwahiyo fei kaamka tu kaenda bank kudeposit 112m tu kwanini isiwe 23m 75m au 98m. kwa sababu kuna kipengele cha kuvunja na sharti ni signing fee irudishwe na mshahara wa miezi 3.
Nadhani yanga walidhani kibongo bongo hakuna mchezaji ataweza kutoa hiyo 100m kulipa kuvunja mkataba. Waamke mambo amebadilika. Halafu waache kuwaadaa mashabiki.
Wamtakie kila la kheri maisha mzunguko iko siku atarejea.