Feitoto yupo sawa kisheria

Huo utaratibu kwenye ishu za Ulinzi au serikalini, ila kwa sehemu zinazojielewa lazima utoe notice si chini ya Mwezi.

Unaonekana ww hujaajiriwa.
Ukitoa notice chini ya mwezi hurudishi mshahara unapewa mshahara wako but ukitoa ndani ya masaa 24….unarudisha mshahara
 
Narudia tena, fifa sio Wajinga Mkuu, mambo hayo yametokea sana hapo nyuma ndo maana fifa ikaweka kipengele cha kuvunja Mkataba kwa pande zote mbili.

Na kwa Mchezaji anaruhusiwa kuvunja Mkataba na team ikiwa mambo 3 yametokea.

- Hajalipwa mishahara ya miezi mitatu.

- Hajacheza Idadi ya mechi zaidi ya 10.

- Team kushindwa kutekeleza matakwa ya Mkataba.

Sasa nambie, ni kipi Yanga hajafanya!?
Ingekua ni rahisi tu kuvunja Mkataba kienyeji hivyo, Team zenye pesa zingewanyanyasa wengine, ndo maana fifa ikaweka taratibu tena ziko wazi.
Yanga wameweka kipengele ukijisikia kuvunja utoe pesa ya usajili na mishahara mi 3. Sasa hicho kipengele cha FIFA kitafanya nini hapo wakati Yanga wametoa nafasi hiyo? Kama wakosaji wawe Yanga kuweka Clause inayokinzana na FIFA kwenye kuvunja mkataba.
 
mimi huwezi nipangia niondoke kwa namna gani, naamua mwenyewe naondokaje?. Fei kaamua kuondoka kwa njia ile, watu wanalalama wanataka kumpangia namna ya kuondoka. anasoma mkataba wake tu umemweleza vipi basi anajiondoa...hayo mengine mtajua wenyewe wapiga ramli :) .
Watu waache dharau ya kutudharau watanzania kwa kila jambo hatuwezi..sisi sio wa kupangiwa kila kitu, tunajua kusoma na kuandika na tunaelewa pia:D:D. Watulie Fei anaamua!!
 
Ukiwa na mawazo hayo ya kujipangia namna ya kuondoka jiepushe kufunga mkataba wowote, utalipishwa mpaka uchakae
 
Ukiwa na mawazo hayo ya kujipangia namna ya kuondoka jiepushe kufunga mkataba wowote, utalipishwa mpaka uchakae
amefuata mkataba unavyosema, akaufata sasa nashangaa watu wachache hawaelewi mkataba wa bwana mdogo :D
 
Binafsi sioni ajabu kwa Fei kutaka kuondoka yanga kwasababu ndio maisha ya mpira ma wachezaji Duniani kote hutoka timu moja kwenda nyingine!!.
Kinachonishangaza hapa ni namna fei alivyoamua kuondoka yanga na namna ambavyo Azam na fei wameamu kufanya Mambo locally/kienyeji kiasi hiki!!, Fei kisheria mkataba wake hawezi kuuvunja pekee yake pasina malidhiano ya pande mbili. Lakini pia hata Kama mkataba wake unamruhusu afanye hivyo na yanga wakawa hawamruhusu njia sahihi ilikuwa sio hiyo anayoitumia!!, Kuna vyombo mahususi vya kushughulikia Mambo nyeti na haki za wachezaji je alizishirkisha ili kupata haki yake??.
Yanga na timu nyingine za Tz iwe fundisho kwenu kuheshimu wachezaji wazawa kwa maslahi ya mpira wetu, haiwwzekana mtu km Fei azidiwe mshahara na,
1.Makambo 10m
2.Gael 6m,
3.morrison 23m
Hii inatia kinyaa mchezaji anayejitoa kwa damu na jasho timu kupata MATOKEO kuzidiwa mshahara na watu wasio na mchango kwenye timu.
Binafsi ningekuwa na uwezo ningemuacha fei aende anakoona Kuna maslahi kwake.

Niwatakie Noel njema!
Wabongo mnapenda maridhiano. Maradhiano ili iweje kwa mfano? Mimi nivinje mkataba kwa kukubembelezana.
Huo ni ujinga kila mtu awajibike kwa nafasi yake sio mambo za kunyenyekeana
 
Sawa,
Ebu tuambie yuko sawa kwa Sheria ipi!?

Au Sheria gani na vifungu vipi!?

Ukiweza kazia na kanuni zipi hata kama za Tff au za ligi!!
 
Yanga wameweka kipengele ukijisikia kuvunja utoe pesa ya usajili na mishahara mi 3. Sasa hicho kipengele cha FIFA kitafanya nini hapo wakati Yanga wametoa nafasi hiyo? Kama wakosaji wawe Yanga kuweka Clause inayokinzana na FIFA kwenye kuvunja mkataba.
YANGA WALIVYO WANYONYAJI HAWANA HELA YA KUWASAINISHA WACHEZAJI MKATABA WENYE UJAZO WA JUU WA VIPENGELE VYOTE VYA FIFA.

HUWA NASEMA KILA SIKU. MADHAIFU YA KIONGOZI AU TAASISI YOYOTE NI NJIA AU UCHOCHORO KWA WAFANYAKAZI KUPITA KWA UHURU BILA KIKWAZO.

ACHENI KUMILIKI TIMU ZA MPIRA KINYONYAJI NA KIUBABAISHAJI KWA MATEGEMEO YA KUWAFUNGA WATU AKILI NA UPEO WAO WA MAISHA.

MCHEZAJI ANAPOSAJILIWA ,ANAKUWA NA EXPECTATIONS ZAKE NA HATA TIMU PIA INAKUWANAZO PIA. HII ISSUE NDIYO INAYOBALANCE MAZINGIRA YA KAZI KWA MUDA WOTE.

NB:SIMBA NA YANGA ZIACHE UHUNI WA KITOTO ,NCHI INASONGA MBELE SIO KAMA ZAMANI TENA
 
Yanga wameweka kipengele ukijisikia kuvunja utoe pesa ya usajili na mishahara mi 3. Sasa hicho kipengele cha FIFA kitafanya nini hapo wakati Yanga wametoa nafasi hiyo? Kama wakosaji wawe Yanga kuweka Clause inayokinzana na FIFA kwenye kuvunja mkataba.
YANGA WALIVYO WANYONYAJI HAWANA HELA YA KUWASAINISHA WACHEZAJI MKATABA WENYE UJAZO WA JUU WA VIPENGELE VYOTE VYA FIFA.

HUWA NASEMA KILA SIKU. MADHAIFU YA KIONGOZI AU TAASISI YOYOTE NI NJIA AU UCHOCHORO KWA WAFANYAKAZI KUPITA KWA UHURU BILA KIKWAZO.

ACHENI KUMILIKI TIMU ZA MPIRA KINYONYAJI NA KIUBABAISHAJI KWA MATEGEMEO YA KUWAFUNGA WATU AKILI NA UPEO WAO WA KIMAISHA.

MCHEZAJI ANAPOSAJILIWA ,ANAKUWA NA EXPECTATIONS ZAKE NA HATA TIMU PIA INAKUWANAZO PIA. HII ISSUE NDIYO INAYOBALANCE MAZINGIRA YA KAZI KWA MUDA WOTE.

NB:SIMBA NA YANGA ZIACHE UHUNI WA KITOTO ,NCHI INASONGA MBELE SIO KAMA ZAMANI TENA
 
Kwahiyo ndugu mwanasheria mkataba unapovunjwa inakuaje? Lazima kuwe na mazungumzo au najiamulia tu kuwarudishia pesa yao kama Mkataba unavosema ?
Ukimwambia mke wako mbele ya mashahidi lers say, " ukienda bar kesho nikikuona kusanya kila kitu chako uondoke nyumbani kwangu"

Siku ya pili umeenda bar ukamkuta na friends wanakunywa, ukampa jicho ukasepa zako. Yeye huku akarudi home wewe msela hupo, akakusanya vitu vyake akasepa.

Sasa hapo aje azungumze na wewe akuulize kama anaweza kusepa?

Masharti waloyoweka Yanga yamekamilishwa, kisheria ni kuwa wamekubali automatically in writing, as to whether they have decided to change their minds, it's irrelevant.
 
Kama yupo sawa aende Azam au kokote akasaini aanze mazoezi ,asije akaumia kwenye chandimu.wanachama,washabiki,wapenzi wa Yanga wamesema hawamtaki,hawana lawama na viongozi wao wameridhika.Nabi amesha ajust mfumo Aziz ki,Farid Musa wamefit.Yanga wapo na furaha kuondoka aliyekuwa anamroga Aziz ki
 
Hao Ni legal officers haiwezekani wafaulu 26 pale TLS katika 700 afu wawe akili za afutatu
 
Back
Top Bottom