Elvis Legacy
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 3,392
- 4,730
Limbwata
Usiseme Hiv hujui Kesho yenu, nikumuomba Mwenyezi aendelee kuadumisha Kwenye pendo lenu. Sema mi naona kama wajifarij tuHaiwezekani
Ndio Tumeanza since primary na wala sikumtongozaWeee,usiniambie!
Kumuomba Mungu huwa tunamuomba kila siku ....palipo na mapenzi Mungu huongeza upendoUsiseme Hiv hujui Kesho yenu, nikumuomba Mwenyezi aendelee kuadumisha Kwenye pendo lenu. Sema mi naona kama wajifarij tu
She is my centre of MY world, my heartbeat, and heart desire,my life my everything. I love Herkatunge
Only kifo
She is my centre of MY world, my heartbeat, and heart desire,my life my everything. I love Her
katunge
Jst wait and see
Mafuta Bei Juu Mtaachana Tu, Grease Utaipata Wapi?Limbwata
Bila kupepesa macho, hilo ni penz jipya
Wacha weee,hongereni sana mkuuNdio Tumeanza since primary na wala sikumtongoza
Aliniangalia machoni na mimi nikamuangalia akakwepesha macho kwa aibu then akakimbia ......mahusiano yakaanza
Hili penzi limeanza mwaka 2005 huko kigomaBila kupepesa macho, hilo ni penz jipya