Katunge World Wide
JF-Expert Member
- Apr 27, 2022
- 235
- 327
- Thread starter
-
- #81
Zamani nilikuwa nawaona watu wanaojinyonga kwa sababu ya mapenzi ni wajinga ila toka nimekutana na dear KATUNGE nimegundua mapenzi ni matamu saana akiniacha nitafanya maamuzi ya kushangaza ulimwengunyie ndo mnajinyongaga sometimes
Hela natoa wap sasa
Kwa kweli na mm nimeonaJeiefu kila mtu humu ana hela....kama huna hela humu sio mahala pako
Utamuona soon anakujaMkuu mtag katunge na sisi wadau tumpongeze mbona umepiga kimya kimya?
Au ni huyu cocastic
Ruksa kama unawezaWallah namtafuta Katunge nina kazi naye.....
Huyu jamaa lazima nimprove wrong huyu jamaa
KATUNGE WORLD WIDEKumekucha..
Yani umeacha mwambia hayo kitandani kwenu huko unakuja kututambia huku..