Habar zenu..? Nahtaj rafiki wa kiume ambae yupo single kama mimi tuwe tunachart na if god wishes tuwe wapenz hatimae tuoane... Sihitaj kuwa diss appounted jaman
jamani mjitokeze, kuna nafasi ya kazi huku kwa leoniamahela ....ila Hebu taja sofa zako!
WEWE!!? Chunga sana ulicho nacho asije muovu akakunyang'anya!
Huko unakoishi wanaume hawapo binti?
ha ha ha umenichekesha sana doh!!Pole dawa ya kumpata mmwenza ni goti tu, mengine yooote mbwembwe mpenzi. muombe Mungu atakupa kwa wakati usijeparamia mapepo bure humu.
Binafsi Nilishawahi kutana na mwa JF mmoja (tena kirafiki tu na si ki upenzi zaidi) niliumwa kichwa kwa wiki nzima karibia kufa hadi nilipopelekwa kupata maombi ya deliverance (si uongo). lile lilikuwa pepo nahisi.
Love Connect imewekwa ya nini?
Majibu ya namna hii ndio yanafanya watu wajiulize mara mbili kabla hawajajifunga mabomu na kuweka mabandiko yao ya kusaka wenza best
Imewekwa kwa watu wanaojielewa...
Kwanza kwa namna tu huyu mtu aandikavyo anaonekana yungali binti mdogo sana...
Am very positive huyu binti ataishia kuumizwa moyo wake...she seems desperate
Nimekuelewa best.
If you can,mwite kipande ile umshauri before its too late
anavyovingi achunge kipi?