Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,022
- 1,305
Kaka tabia ya mzungu kusumbuanaKwanini wasingeweka elevator
Kweli mkuuFeel the horror! Anayeishi huko hatakiwi kuwa na watoto wadogo!
UnakaribishwaPanatishaa
Usiku vibwengo lzm, wawepo hapo au unakutana na mtu mrefu anakuchungulia kwenye dirisha...Panatishaa
Haha...hivi vitu tajwa hapo huwa vipo? Au ni fiction tu?Usiku vibwengo lzm, wawepo hapo au unakutana na mtu mrefu anakuchungulia kwenye dirisha...
VipoHaha...hivi vitu tajwa hapo huwa vipo? Au ni fiction tu?