Wakuu habari,
Mtakumbuka wiki mbili za nyuma, nilikuja hapa jamvini, na kusema kuwa kuna kuna binti ninambea naye, sasa siku moja nikamgegeda, bao mbili zote nilitumia kinga, bao la tatu sikutumia kinga, mimi nikajua kuwa ni dhaifu, so aliwezi kuleta madhara, japo huyu binti aliniambia mapema kuwa nipo siku za hatari.
Akaniambia kuwa sasa haoni siku zake, nikaja hapa jamvini kuomba ushauri, mkanishauri kuwa nimwambie kuwa aje kwangu niende naye mgu kwa mguu akapime kama anaujauzito au la?, kweli nikafanya hivyo kwa kumwambia, akawa anazungusha, cha ajabu, jana akaniambia kuwa amezziona siku zake. So nikahisi kuwa ananidanganya au alikuwa anataka pesa tu nimpe akajifanye anaitoa. Kwa sasa wadau mambo yanaendelea vizuri,
Asanteni wote mlionishauri