Haya endelea kufanya research ili tujue wanafanyishwa kazi za ndani tu au kuna nyingine zaidi...
Habari za sasa wana jukwaa.. bila shaka khali zenu ni njema kabisa!
Basi bila kusita, naomba nianze kwa kusema kuwa, nchi za arabuni zimekuwa na demand kubwa sana za wadada wa kazi za ndani, na kulingana na demand hiyo, basi kuna watu weeengi wameshachangamkia fursa either kuwapeleka wadodo zao huko, ama kuwa ma agent kwa ajili ya kupeleka wadogo zetu huko arabuni..
Ni kipindi kirefu sasa kimepita toka nisikie jirani yangu hivi, mdada mmoja mrembo sana alipoenda huko arabuni kwa ajili ya kufanya kazi za ndani.... basi bana, kwa vile aliondoka bila kuniaga, mi niliishia kukaa kimya tu, sikutaka kujua zaidi kafuata nini huko..
jambo lililonifanya mpaka leo hii nije kuwapa kaunono haka ni kuhusiana na maslahi ambayo kiasi fulani yalinistua kulingana na hali ya kiuchumi ya nchii hii.. bidada kanieleza wazi kabisa kwamba kiwango cha mshahara kule si haba, kwa mwezi wanapokea TSHS 200,000!
Kiukweli sikutaka hata kuamini, lakini akazidi kunithibitishia kwa kunionyesha simu aina ya samsung galaxy ndogndogo hivi aliyonunua kwa pesa kidogo tu ambayo hapa kwetu ni kama tshs 190,000.
Sishabikii kwamba mpeleke watoto wenu huko! la hasha, bado nafanya research kamili juu ya mazingira hasa ya kazi na kiafya wanaishije huko arabuni.. kama ni mazuri, basi hongera zao kwa ajira..
ahsanteni..
Usiwe kama mburula wewe.., sehemu yeyote ile.., ukiwa unaingiza pesa kwa kasi X basi ujue hata rate ya kutumia pesa itakuwa ni X, huko wanakolipwa hiyo lakimbili/day huwezi kula msosi wa mchana popote pale bila angalau 30,000 mpaka 50,000/=. Ukiona sehemu mtu analipwa 10,000/ day basi ujue anaweza kupata msosi wa mchana hata kwa buku 2 na akashiba vibaya..!!hio tsh 200,000 ni mshahara wa siku moja[8hrs] kwa kazi kama hio UK.
ya kweli haya mkuu?
na wafanya kazi wengine wanalipwaje as a minimal salary scale?
Usiwe kama mburula wewe.., sehemu yeyote ile.., ukiwa unaingiza pesa kwa kasi X basi ujue hata rate ya kutumia pesa itakuwa ni X, huko wanakolipwa hiyo lakimbili/day huwezi kula msosi wa mchana popote pale bila angalau 30,000 mpaka 50,000/=. Ukiona sehemu mtu analipwa 10,000/ day basi ujue anaweza kupata msosi wa mchana hata kwa buku 2 na akashiba vibaya..!!
seriously mkuu ntafanya research.. haka kadadaa ntkakagua effectively kama kako salama kiundani! lol!
ndyo unatafuta mabinti wa kitanzania wakafanye kazi za ndani uarabuni au ndyo agent wewe tunasikia kila cku bbc mabinti wa kiafrika wanateswa hukoHabari za sasa wana jukwaa.. bila shaka khali zenu ni njema kabisa!
Basi bila kusita, naomba nianze kwa kusema kuwa, nchi za arabuni zimekuwa na demand kubwa sana za wadada wa kazi za ndani, na kulingana na demand hiyo, basi kuna watu weeengi wameshachangamkia fursa either kuwapeleka wadodo zao huko, ama kuwa ma agent kwa ajili ya kupeleka wadogo zetu huko arabuni..
Ni kipindi kirefu sasa kimepita toka nisikie jirani yangu hivi, mdada mmoja mrembo sana alipoenda huko arabuni kwa ajili ya kufanya kazi za ndani.... basi bana, kwa vile aliondoka bila kuniaga, mi niliishia kukaa kimya tu, sikutaka kujua zaidi kafuata nini huko..
jambo lililonifanya mpaka leo hii nije kuwapa kaunono haka ni kuhusiana na maslahi ambayo kiasi fulani yalinistua kulingana na hali ya kiuchumi ya nchii hii.. bidada kanieleza wazi kabisa kwamba kiwango cha mshahara kule si haba, kwa mwezi wanapokea TSHS 200,000!
Kiukweli sikutaka hata kuamini, lakini akazidi kunithibitishia kwa kunionyesha simu aina ya samsung galaxy ndogndogo hivi aliyonunua kwa pesa kidogo tu ambayo hapa kwetu ni kama tshs 190,000.
Sishabikii kwamba mpeleke watoto wenu huko! la hasha, bado nafanya research kamili juu ya mazingira hasa ya kazi na kiafya wanaishije huko arabuni.. kama ni mazuri, basi hongera zao kwa ajira..
ahsanteni..
ndyo unatafuta mabinti wa kitanzania wakafanye kazi za ndani uarabuni au ndyo agent wewe tunasikia kila cku bbc mabinti wa kiafrika wanateswa huko
Duh basi hatari.....Kuwachezea matajiri wa kiarabu uchi.