excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
Habari za sasa wana jukwaa.. bila shaka khali zenu ni njema kabisa!
Basi bila kusita, naomba nianze kwa kusema kuwa, nchi za arabuni zimekuwa na demand kubwa sana za wadada wa kazi za ndani, na kulingana na demand hiyo, basi kuna watu weeengi wameshachangamkia fursa either kuwapeleka wadodo zao huko, ama kuwa ma agent kwa ajili ya kupeleka wadogo zetu huko arabuni..
Ni kipindi kirefu sasa kimepita toka nisikie jirani yangu hivi, mdada mmoja mrembo sana alipoenda huko arabuni kwa ajili ya kufanya kazi za ndani.... basi bana, kwa vile aliondoka bila kuniaga, mi niliishia kukaa kimya tu, sikutaka kujua zaidi kafuata nini huko..
jambo lililonifanya mpaka leo hii nije kuwapa kaunono haka ni kuhusiana na maslahi ambayo kiasi fulani yalinistua kulingana na hali ya kiuchumi ya nchii hii.. bidada kanieleza wazi kabisa kwamba kiwango cha mshahara kule si haba, kwa mwezi wanapokea TSHS 200,000!
Kiukweli sikutaka hata kuamini, lakini akazidi kunithibitishia kwa kunionyesha simu aina ya samsung galaxy ndogndogo hivi aliyonunua kwa pesa kidogo tu ambayo hapa kwetu ni kama tshs 190,000.
Sishabikii kwamba mpeleke watoto wenu huko! la hasha, bado nafanya research kamili juu ya mazingira hasa ya kazi na kiafya wanaishije huko arabuni.. kama ni mazuri, basi hongera zao kwa ajira..
ahsanteni..