kweli umeongea
ila kutoa thanks kwa hoja iliyosaidia more thanks inafanya hivyo pia sio lazima kuandika kila mtu
au?
kutoa thanks kwa kubofya ni nzuri ila kama uliombaa msaada ukapewa jibu na ulipofanya likakubali basi sema nilifanikiwa
kaka dr 4ne naungana na wewe.mia kwa mia hiyooooooooo!!!!!!!!!! but teh teh teh na nyie mnao gongewa senkyuuu mtujuze kama mlizipata hizo thanxx. ila dr nakuomba tebelea leo jukwaa la JF DOCTOR nina hitaji mawazo yako.https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/99928-masikio-yangu-yote-yametoboka-ngoma.html
Nilimaanisha kama hivi ulivyosema dr phone, ni vizuri tukajua kama shida imetatuliwa au la.
naunga mkono hoja kwa 100% yani tunabaki hewani tu watu wanaendelea kutoa ushauri kumbe mtu alishafanikiwa kaamia kwenye jukwaa la mapenzi mpaka apate shida tena ndo anakumbuka jukwaa hili
na huko kwenye jukwaa la mapenzi hakosi kutoa feedback... achilia mbali kupost everyday...
poa mkuu ukigonga thnx inakuwarecorded vp we ujawai kusaidiwa hapa jamvini nitatembelea jukwaa dr ujue nimekuwateja na jukwaa hili
Being grateful is good
mimi nilisha wahi saidiwa sana na wote walio nisaidia huwa lazima nigonge thaannxxxxxxxx
Umuhimu wa hiyo batoni ni pale unaposhukuru ya kuwa tatizo lako limefanikiwa. maforam ya zamani kulikuwaga hakuna hicho kitufe, na watu waliokuwa wanasaidiwa walikuwa wanaandika hoooooray senkyu, it worked senkyuuu, Well done na kuendelea yaani kama ni solution basi utakuta page tatu ni hayo senkyu yanajirudiarudia. ndo ikabidi hizi senkyuu za kuandika zirahisishwe na kuwekwa kitufe. ile thread iweze kueleweka. maana unaweza ukafungua page ya tatu unakutana na "thanks for the info"" thx" page nzima, unarudi nyuma ni "Oh! you are number one thanks", "thanks dude",Mkuu imekubali ahsante, unarudi nyuma ni hivyo hivyo sasa hata unakuwa huelewi thread ilikuwa na mada gani. nafkiri tutumie hicho kitufe cha Thanks ili thread iweze kusomeka vizuri. Itasaidia vilevile kuweka topic iliyotoa hiyo solution kuonekana vizuri kuliko kukutana na hayo ma senkyuu yaliyojaza page nzima. Nawaomba na Ma mods wawe makini katika hili.