Ni mimi....:smile-big:
Ni mimi....:smile-big:
ndo nini sasa kuwafanya hivyo wana wa wenzio?
ila nashawishika kuamini sio wewe
Hahaaaa
utawajua wapi best nawe unakaa ndani tu kama utumbo....
Kuna mbeba maboksi mwingine maarufu na playa kunizidi mimi?
Bora umelitambua mapema..social netwrk is'nt a ryt plc to get sum1 akili yko inabid ichezeshe mahesabu fasta othrws unabak kujuta,imeshanitokea yan cna ham ya kumkubal mwanaume kwny netwrks tn nilibak kujuta na kulia..too late!
Hakuna....na sikulaumu if it is you
Kuna mbeba maboksi mwingine maarufu na playa kunizidi mimi?
Kuna watu wambea humu.
kama wewe huuwez usiseme wenzio
Kuna watu wambea humu.
Kama tunalipwa vile kumbe huduma ya kujitolea tu.....
Kama tunalipwa vile kumbe huduma ya kujitolea tu.....
raha ya umbea uujue mwanzo na mwisho.natamaaaani kumjua tapeli wa mapenzi
bora umestuka, ungeingia choo cha watoto ujisaidie huku umekalia poti. ok, bye.