Wale walio kuwa wanasubiri kuitwa kazini tume ya utumishi wa mahakama, haya majina yametoka, Je, mlichokitegemea ndicho mlichokipata? Haahahahaah najua wengi wetu ni majonzi matupu maana, mambo yamekuwa ni kinyume maana kwa mfano miye kwenye kundi/ jopo langu ni watu wanne tu ndiyo waliyo itwa kazini, sitaki kuamini kwamba katika watu 24 tuliokuwa kwenye jopo letu, ni watu wanne tu ndiyo waliofaulu usahili ule.
Hakika kunakila viashiria vya rushwa ndani yake.
Eti wanajiita chombo cha kutoa haki, hakika Tanzania imeoza kila kona hakuna mahakama wala taasisi yeyote ya serikali iliyosafi.
Mwenye macho haambiwi tazama.