Kwa wale tuliofanya Usaili wa Human Resources Officers na Adiministrative Officers tar. 4 na 5 April Tume ya utumishi wa mahakama national stadium tukutane kwenye uzi huu tupeane updates. Ni wiki ya pili sasa hawa jamaa bado wapo kimya! Lini wanatoa majibu?? Mwenye taarifa tafadhal