Ebana sio mchezo hii company nilikuwa nazitafuta ajira zake ila nishazikosa.Company yenyewe ni DNATA
Nafasi zilikua
Customer service agent
Security agent
Cleaners agent
Ramp agent
Vipi mkuu washakujibu au bado wamekula buyu?Wanajukwaa mambo vipi?
Kuna company tulifanya interview kama wiki tatu zilizopita, juzi kuna baadhi ya wasailiwa walipokea jumbe kupitia barua pepe zao kuwa AHSANTE KWA KUSHIRKI amean hawakufanikiwa.
Ila wengine hadi leo hatujapokea email ya aina yoyote.
JE MKEKA UMEKAAJE HAPO
Duh! Basi wakuda Sana, si wawape Tu mrejesho? Au walikuwa na watu wao tayari maana siku hizi hata interviews zishakuwa irrelevant tu.Bado bila bila, labda ndio tushaliwa vichwa sisi
Interview nyingi sasahivi ni hewa tuDuh ! Basi wakuda Sana ,si wawape Tu mrejesho ? ,Au walikuwa na watu wao tayari maana siku hizi hata interviews zishakuwa irrelevant Tu
Acha niendelee kuuza mahindi ila kama nitapata mrejesho uwe positive or negative nitarudi
Barua au EmailsBarua za majibu ya interview ukiona maneno machache usisome jua moja kwa moja hukufanikiwa.
Au tupa jicho paragraphy ya pili ukiona inaanza na UNFORTUNATELY usipoteze muda wako kusoma!
Maisha ni mapambano.
Ila ukibahatika ukapata maslahi Yao yako poa, kibongo bongo unatamba kitaa.Acha niendelee kuuza mahindi ila kama nitapata mrejesho uwe positive or negative nitarudi
Hapana, Ila kuna mwamba alishafanya hapo siku za nyuma.Vipi mkuu unafanya kazi kwa hii company