Hebu fanya utafiti uone linaendeshwaje and what are the outside interferences?Something like this sounds good na pili mishahara yao ingetokana na income ya mwez kampuni iliyo ingiza kma kuna hasara mshahara unadrop kwa percentage ambayo IPO fixed na kma kuna faida vice verse ifanye
nyie watu bhana wakijilipa hooo mafisadi ho kwanini wajilipe kiasi chote hicho!Sijasema wanyimwe mshahara. Nimesema wajilipe kutokana na mapato yao
Hawako independent na hawana maamuziHawa watakuwa wanawaza kujenga nyumba na kununua magari, sina uhakika kama wanajua kuwa mteja mmoja anayeenda one way Mwanza au arusha ndiye chanzo cha uwepo wao!
Mapato yao unayajua kwa mwezi?Sijasema wanyimwe mshahara. Nimesema wajilipe kutokana na mapato yao
Ina maana wanalipwaje? Kulipwa kwa ruzuku ndio kunageuza makampuni ya umma kujaa watu wasiojua wanafanya niniKwani in shirika gani linalojilipa mishahara?
Wajilipe hata milioni Mia lakini hawatakiwi kupokea hela toka serikalini.Kuna mashirika walikuwa wanafanya vizuri wakawa wanajilipa 40 millioni, juma akakataa sasa na wewe unashauri nini maana wakijituma wakapata kingi na kujilipa pesa kubwa watu roho zinawauma
Hili shirika lifutwe tu tujue moja Pangaboy zipelekwe jeshini maana hakuna wa kuyapanda mandege ya vita ya kwanza ya Dunia hayo
Hamna ndege mule kaka ndege zile ni toleo la vita ya 2 ya DuniaNdege ni nzuri. Tunataka wajiendeshe wenyewe.